Search results

  1. username1

    Kero: Meneja uwanja wa CCM kirumba anasababisha kero

    Wadau kero yangu ni kuhusu tiketi za VIP B zinakatwa kupitiliza idadi/uwezo wa jukwaa hivyo kupelekea mashabiki kusimama kwa kukosa nafasi. Kila ninapokuja hapa hasa zikicheza hizi timu kubwa simba/yanga lazima ugomvi utokee. Hii inasababishwa na management kushindwa kusimamia vyema zoezi la...
  2. username1

    Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Msimuliaji ndiye alikuwa mzimu unaishi kwa hyo nyumba
  3. username1

    Kwa Mfano Mwamba Angesomea Harvad Ingekuaje?

    Akili kubwa hujadili mada, akili ndogo hujadili watu
  4. username1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji23][emoji23]
  5. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii wiki tanesco mna shida gani na Tabata mnakata kata umeme mpaka kero Sent using Jamii Forums mobile app
  6. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco tabata mnataka kutuunguzia vitu maana mnakata na kurudisha umeme tu Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kwanini mmeweka madawati ya dharura simu zinapigwa hazipokelewi zikipokelewa watu wa dharura hawafiki eneo la tukio watz tunateseka sana Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. username1

    Maboresho ya JF - 2019

    Mngeweka pia signature ziwe zinaonekana kwenye app ya simu ingependeza zaidi Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. username1

    WALALE PEMA

    Ulale pema Jasiri muongoza njia Ruge Mutahaba Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. username1

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba namba ya dawati la dharura Tanesco tabata
  11. username1

    Faragha (UWATA) Tanzania

    Kabla hujaongea uwe unasoma kwa makini kasema mkewe anaenda lutherani na huko sijui kapaita wapi?? Wewe inaonekana hujui lolote
  12. username1

    Faragha (UWATA) Tanzania

    Mwanadamu gani anaweza kuacha dhambi muache upotoshaji
  13. username1

    Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Nakuona unajuhudi sana lakini si katika maarifa na kama nilivyosema u bado mtoto mchanga chakula kigumu hukiwezi Ebrania 5:14
  14. username1

    Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Ndugu yangu nakuona wewe ni mjuzi sana wa maandiko katika ufahamu wa mwili Kwasababu mimi si mtoto tena katika kumjua Yesu basi naishia hapo maana bado chakula kigumu hukiwezi
  15. username1

    Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Mkuu kwa kutulia kabisa naomba usome hayo maandiko na uniambie kweli wewe umekutana na YESU Maana naona mpaka sasa usomapo agano la kale ule utaji wakukalia moyoni nawe usipate kujua kuwa YESU KRISTO huo utaji huondolewa 1cor 3:16
  16. username1

    Kanifumania week ya pili sasa matendo yake kwangu yananipa wasiwasi

    Nani kagundua kuwa hii story ni ya uongo kama mimi? Ila mkuu una screen kubwa nchi ngapi?🤣🤣
  17. username1

    Ukweli kuhusu alama ya mnyama

    Kwakweli mleta mada pole sana naona bado hujakutana na Bwana Yesu. Nakushauri mimi niliye mdogo ukubali Bwana Yesu akuokoe nawe upate kuhesabiwa haki kwa sheria ya imani uachane na sheria ya dhambi iletayo mauti ndani yako.
  18. username1

    Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

    Bila kapicha uzi haunogi Mkuu weka Picha kabla na baada ya kupewa sweta
Back
Top Bottom