Search results

  1. CHAPTER5

    Ndoto ya kuonekana chaneli za ndani (FTA) kwenye Azam, Dstv na Zuku inanitokea mara kwa mara!!

    2019-2020 kuwa makini na ofa za kipindi cha mpito. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. CHAPTER5

    Neno geni la kiswahili lenye umaarufu

    Uchochezi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. CHAPTER5

    Watumia mitandao ya Kijamii tujiepushe na lugha za kejeli na matusi hasa kwa viongozi

    Huwa nahuzunika sana pale ninapo muona ama kusikia kiongozi ninayemuheshimu anatoa lugha isiyo na staha tena mbele ya hadhira kuu ya watu anaowaongoza . unafikiri tunajifunza nini kutokana lugha isiyo na staha inatolewa na viongozi mbalimbali . Heshima huanza kwa mkubwa kwenda kwa mdogo . mdogo...
  4. CHAPTER5

    Ningekuwa CAG ningewawahi kabla hawajaniwahi

    Assad ni kiongozi mzalendo. Ni vizuri asichukue maamuzi ya kuachia ngaz yanaweza kumkuta yaliyomkuta lowasa watu hawakawii kubadili magoli . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. CHAPTER5

    Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

    Ungependa jimbo la ubungo wananchi wa ubungo tumchague nani? Kuwa muwazi onesha interest zako ili sisi wananchi wa ubungo tukiona inafaa basi tumchague huyo unayemuona anatufaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. CHAPTER5

    Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

    Wewe unaejielewa unaishi wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. CHAPTER5

    Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

    Nipo ubungo maji Sent using Jamii Forums mobile app
  8. CHAPTER5

    Wabunge hawa wakirudi bungeni 2020 naacha siasa

    Sisi wananchi hatuwahitaji wabunge wanaojikomba kwa utawala. Wakati jukumu la kutengeneza barabara sio kazi ya mbunge awe mpinzani ama wachama tawala. Kazi ya kutengeneza barabara ni ya serikali yenyewe. Mbunge anachukua maoni na maombi ya wanachi kwa serikali . Serikali itakavoona inafaa...
  9. CHAPTER5

    Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Habari nzuri ila haikuletwa kwa wakati unaofaa. Ingekuwa vzr kama ungeleta tuhuma hizi pindi tu hizi unazoziita hujuma alizofanya huyu CAG zilipofanyika kuliko kusubiri mpaka kuwe na mgogoro dhidi yake na wengine ndio ulete hoja chafu dhaifu ya kumhusu yeye. Nakuomba mleta mada uwe mzalendo...
  10. CHAPTER5

    Kimaadili ya Kihasibu: Je, CAG alikuwa sahihi?

    Bila kusema ukweli je rushwa , utendaji mbovu utaisha? Hongera CAG . Magufuli hupenda kusema msemakweli ni mpenzi wa Mungu. Kama wewe ni mzalendo wa kweli wa nchi hii kwa kuikubali kauli hiyo ya Magufuli kutumiwa na CAG kwa vitendo toa like za kutosha ili tujue nani mzalendo wa kweli na nani...
  11. CHAPTER5

    Je, tukio hili ni la kweli au walikuwa wanaigiza?

    Nimependa ulivyopangilia maelezo ya kwenye hiyo vidio . Naidownload sasaiv Sent using Jamii Forums mobile app
  12. CHAPTER5

    Fahamu faida na matumizi ya Tende

    Asante kwa elimu nzuri ulitoa bila upendeleo. Maana wengine wangemalizia kwa kutukaribisha PM kwa lengo la kufanya malipo juu ya elimu aliyotoa. Ubarikiwe sana mkuu
  13. CHAPTER5

    Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

    Mambo mengine yanatokea ili kuishangaza dumia tu. Acha yapite sikomenti chochote.
  14. CHAPTER5

    Ally Hapi uongozi ni koti la kuazima, kama hujui fahamu leo

    Kama hujaelewa ulijuaje iwapo mtoa tetesi kuwa ni muongo?
  15. CHAPTER5

    Dr. Magufuli ni Rais bora wa karne

    Hivi ukitaka uitwe mzalendo itakubidi uwe mshabiki wa chama gani cha siasa?
  16. CHAPTER5

    Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

    Cha muhimu ni kujua dhima ya biashara ni nini! Kila anatarajia ama anayefanya biashara lengo aje kupata faida . Na faida hutofautiana kulingana na ukubwa na thamani ya kile unachokiwekeza. Ukiwekeza kikubwa kunauwezekano mkubwa pia kupata faida kubwa mbeleni. Na kumbuka uwekezaji wenye faida...
  17. CHAPTER5

    Tumefika hapa kuomba kibali cha kuweka jenereta

    Sawa waache wainyoshe inchi maana ilikuwa imepinda . Tafadhali msitoe povu kwa kunilaumu ila Nimejaribu kukomenti kwa kutumia maneno yaliyotumiwa na watu wengine ili kuonesha kuwa tupo kwenye raiti traki
  18. CHAPTER5

    Yaliyojiri kikao cha Rais Magufuli na Mawaziri, Makatibu Wakuu, MaRCs, MaRAS na TRA

    TRA weka orodha ya hizo bidhaa tujionee wenyewe na sio kuhadithiwa tu
Back
Top Bottom