Search results

  1. O

    Picha : Cheti kikionesha matokeo ya kuhitimu kidato cha nne Novemba, 2016

    Uongo , angalia sahihi ya prof: mkandala hapo kushoto as Mwenyekiti Wa baraza na ndalichako , ndalichako sio katibu Wa baraza ni waziri na waziri hasaini ktk cheti.
  2. O

    Kumi muhimu usiyoyajua kuhusu mmiliki wa facebook, Mark Zuckerberg!

    Idea ya Facebook haikuwa yake bali aliidevelop kutoka kwa class mate wate.waliipomuomba washirikiane yy akaifanya kivyake
  3. O

    Tathmini ya Mahojiano na Rais Magufuli: Pascal Mayalla aongea Star TV

    Huyo mtangazaji Mansoor jumanne ni mtu makini sana, namfaham personally. Na alichukua tuzo za investigative journalism EJAT zilizopita pale Mlimani city mwaka huu na ikumbukwe katoka chuon just last year
  4. O

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    Pascal mayala jinsi alivyotupa credit wana jf nimependa. Pia nimegundua kama we ni public figure na una id fake hapa jf basi tafuta na id ya ukweli il utoe credit vizuri as Pascal did. Najua wanahabari wengi wana id fake inakuwa ngumu ku cite jf. Bravo pascal umeiwakilisha jf
  5. O

    Ngabu akutana na Michelle uwanja wa ndege

    Hamna harufu ya ban hapo kweli...
  6. O

    DARUSO imepoteza sifa kuendelea

    Sipo kuchochea chochote lakini elimu ya sasa inanitua mashaka kwa baadhi ya wanafunzi. Mkuu utashi unepungua sana siku hizi. Utaashangaa yaani iunakuwa na public lekcha pale Nkrumah na unakuta wanafunzi ni wachache sana, sasa unajuiliza hawa wanafunzi Wa siku hizi nini kinaendelea vuchwanj...
  7. O

    Niulize swali lolote la History au Kiswahili

    Kamwe usijifanye unajua kila kitu ndo maana mwenye PhD Bado anaendelea kufanya tafiti sasa ww na bachelor yako unahisi unajua kila kitu ktk mayo masomo. Any way, na mimi nikuulize WAKOLONI WALIPOKUJA AFRICA WAOIKUWA WANATUMIA CHAKULA GANI? 2. SPEECH ACTS KWA KISWAHILI INAITWAJE?
  8. O

    Mashamba ya viongozi ambayo hayajaendelezwa...

    Shamba kubwa la masta Jim
  9. O

    Kituo cha kuuliza maswali ya kijinga On Air

    Ni kweli mikopo yote wamepewa kindagateni ila mikombe na masufuria wamepewa wa vidudu
  10. O

    Kituo cha kuuliza maswali ya kijinga On Air

    Kunywa maji na glasi na kunywa maji na kikombe ipi nzuri kisayansi
  11. O

    Siloam Ministry International Mbezi Beach

    Aisee kumbe yupo pale , Mbona hatutajii jina lake jipya
  12. O

    Kituo cha kuuliza maswali ya kifala, na wewe uliza lako

    Ke : helo , hujalala saa sita USIKU yote hii , unafanya nini kwani mpk sa hizi Me: nipo nje hapa naotaota jua
  13. O

    Ulipoingia ndani ya 18 ya wanajeshi wetu, walikufanya nini?

    Kuna siku niko o- level ktk gari ile kufika pale makongo baada ya lile daraja la zamani kulikuwa na foleni kutokea njia panda kawe kuja mwenge. Ss kukawa na magari mengine yanatanua Ndani ya shule ya msingi na kuja kuibukia soza kumbe mp kayaona. Kilichofata ni kukata fimbo ya mjohoro...
  14. O

    Naomba kuuliza ni jambo gani ambalo Tanzania imelifanya la kujivunia?

    In short yapo mengi, kutokuwa na ukabila uliokithiri km majiran zetu that's first
  15. O

    Waziri Lukuvi, shamba lina hati, wananchi wamevamia, kesi ipo mahakamani, unatoaje notisi?

    Asipofanya analaumiwa akifanya yaleyale. Ss hiyo notice itamfanya kuyaendeleza na kuajiri watu humo safi tuu
Back
Top Bottom