Sasa rafiki mbona sikuelewi? Kama mtu ni usalama wa taifa badala ya kumuogopa inatakiwa umkumbatie .maana ni kati yao walindao usalama wako na wa taifa lako. Usalama wa taifa sio ujambazi wa taifa
Sasa si ungelala Mikumi? mbona kama umezidisha safari?& then ulikuwa makini kuchunguza ! hadi ukabaini smart phone kuwa ni galaxy. hakika wewe ni noma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.