Tarifa za kijeshi muhimu nyingi uwa ni siri,usitegemee kupata tarifa sahihi zakimedani toka pande zote mbili.Pia hizo silaha idadi inayotangazwa kupelekwa ni tofauti na uhalisia kwa sababu za kivita.Kwahiyo ukiona wamesema wamepeleka HIMARS kadhaa jua idadi ni zaidi au pungufu,pia ukiona...
Inashangaza,sielewi nini kinakwamisha miradi ya barabara tena muhimu,mfano kuna barabara muhimu inayounganisha kanda ya ziwa na kaskazini kupitia kusini mwa serengeti,hii barabara ya Kolandoto-Meatu-sibiti mpaka karatu ni njia ya mkato kueleka Mikoa ya kaskazini,ikifunguliwa itachangamsha sana...
Unaumwa wewe,Chuo cha Ushirika moshi ukitoa main campus ya moshi tawi lingine ni la Kizumbi Shy,tena ili la Shy linakatwa mwaka huu kiwe chuo kikuu kinachojitegemea tayari uboreshaji miundombinu unaendelea,hii ni sambamba na upandishaji wa chuo cha afya na tiba kolandoto.Kuna vyuo vikuu vipya...
Nyie mnaekusanya nyingi mbona miradi yenu hatuioni?Kwa tarifa yako makusanyo mwaka huu yatapanda mara mbili yake pia halmashauri imekuja na mbinu mpya yakupata fedha yakutekeleza miradi.
Nani kakudanganya hizo ni render?Hiyo ni miradi inayoendelea kujengwa kwa pesa za ndani za halmashauri.Hizo stand zinajengwa kuna mfumo maalum unaandaliwa wa usafiri wa ndani ya mji ambapo kutatumia magari yakisasa kutoa huduma ndani ya mji.Majengo yakisasa ya machinga unayosema mabanda...
Kahama ni moja ya miji inayokua kwa kasi sana nchini. Pamoja na hilo, nadhani pia ni moja ya miji michafu sana nchini. Mitaro mingi ya barabarani inatiririsha maji machafu ya bafuni na yakwenye chemba za vyoo. Kuna baadhi ya mitaa ata ukipita kwa haraka unapokewa na harufu kali. Hivi idara ya...
We namaa ni mshamba sana,kiwanda cha pombe kali mpaka geita uko kipo sembuse mwanza?Shinyanga tu kampuni za vinywji vikali nikama canon general supply(shujaa,zhimwa nk),East Africa spirits co ltd(diamond rocks,Hansons choice nk na zinapatikana nchi nzima),Bia kuna kiwanda kipya kikubwa na cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.