Search results

  1. RUSHAMBYA

    Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

    Mahali nilipo mfuko wa cement ni tsh.23,000/- Nondo mm 12 =21,000/- Bati futi 8 gauge 32 = 18,000/- futi 6 -//-. 17,000/- Misumari kilo 1 = 8,000/- Baadhi tu ya vifaa
  2. RUSHAMBYA

    Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

    Haimanishi kwamba wafanyabiashara ndio washushe bei za vifaa bila serikali kushusha kodi za vifaa hivyo. Serikali ikipunguza kodi ya vifaa vya ujenzi vinaingia kutoka nje na vinavyotengenezwa hapa nchini bila shaka hata wafanya biashara watakuwa na unafuu kwenye kodi hivyo nao kupunguza bei...
  3. RUSHAMBYA

    Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

    Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo. Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli...
  4. RUSHAMBYA

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani huyu?

    Ni salaam ya kuunganisha watu walio kwenye Muungano. Wala sioni athari yoyote kwa slogan hiyo.
  5. RUSHAMBYA

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Sina shaka kabisa mama atakaa miaka 10, kwangu mimi ni awamu ya sita kwasababu aliyepo sasa ni n Rais mwingine na ndo maana anweka na kutengeneza utawala wake kwa kuteua viongozi wa kuendana na matakwa yake.
  6. RUSHAMBYA

    CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

    Twende kwenye ukweli, tuache hisia ni kwamba hakuna mbunge pale bungeni anaweza kulipwa bila uwakilishi wa chama husika.
  7. RUSHAMBYA

    CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

    Kwa hiyo,kama wamefukuzwa, wapo bungeni wakiwakilisha chama gani kama sio chadema, na spika anasema ni wabunge halali. Uchochezi huu.
  8. RUSHAMBYA

    Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    Ni wakati sasa viongozi ambao bado mko kwenye nafasi za uongozi kufikiri nini cha kufanya kabla ya kutamka au kutenda.
  9. RUSHAMBYA

    #COVID19 IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Hii nchi bado sana kujitegemea kiuchumi, tuendelee kuomba misaada huku tukijiimarisha zaidi siku za mbeleni hasa kuweka vyanzo vya kudumu vya ukusanyaji mapato ya nchi.
  10. RUSHAMBYA

    Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Nakupongeza kwa hoja hii. Imenikuna hadi kumtima. Mifumo yao imelewa
  11. RUSHAMBYA

    UCHAMBUZI: Adhabu waliyopewa wanafunzi wanaoshukiwa kuchoma shule sio sahihi kwa 100%

    Maamuzi yaliyofanywa nia sahihi kabisa kama kulikuwa na tatizo lilitakiwa kuripotiwa katika mamlaka husika kwa hatua zaidi sio kuchoma mabweni ambayo hayana hatia kwa matatizo yao. Big up Rais. Kiukweli huyu ndo Rais.
  12. RUSHAMBYA

    Rais Magufuli azungumza na Watendaji Kata nchi nzima

    Wanajamvi, habari ya muda huu. Hivi Mh. Rais mkutano wake na watendaji wa kata nchi nzima umeoneshwa live? Maana sina updates yoyote. Aliye na full habari atupie hapa.
  13. RUSHAMBYA

    Rais Magufuli azungumza na Watendaji Kata nchi nzima

    Wanajamvi, habari ya muda huu. Hivi Mh. Rais mkutano wake na watendaji wa kata nchi nzima umeoneshwa live? Maana sina updates yoyote. Aliye na full habari atupie hapa.
  14. RUSHAMBYA

    Hizi "voice note" za kuingiliwa mawasiliano sio fake wala za kutengenezwa kama inavyodaiwa(?)

    Ngoja nao wabatizwe kwa moto kama walivyopenda wengine wabatizwe hasa yusufu makamba
  15. RUSHAMBYA

    Musiba amejibu waraka wa Kinana na Makamba

    Yaani nikimkumbuka mzee Makamba akitamka kwamba, anayeondoka aliwabatiza kwa maji bali huyu anayeingia atawabatiza kwa moto. Sasa naye kwa sasa anabatizwa kwa moto uleule. Big up msiba
  16. RUSHAMBYA

    Kauli ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ni Jiwe la Gizani!

    Hizi kauli ni zina ujumbe mzito sana, ukianza kuzichambua hasa kifasihi.
  17. RUSHAMBYA

    Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za biashara kwa Serikali na Wafanyabiashara

    Tumwombee Rais wetu, aendelee kutunyoosha mpaka tutaelewa tu, maana tulishalemaa sana watz.
  18. RUSHAMBYA

    Usikubali mwanao alelewe kwa ndugu

    Kunyanyaswa ndo kufundishwa na kuyajua maisha tena zaidi, kwangu sioni cha ajabu hapo
Back
Top Bottom