Search results

  1. B

    Nina wasiwasi maisha kuwa magumu zaidi na ukosefu wa ajira kuongezeka awamu hii

    Jipangen mnaotegemea ajira kurahisisha maisha yenu
  2. B

    Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

    Chuki binafc za madaraka alikuwa Waziri mkuu akachafua,pia alikuwa mwanachama wa ccm mwaka Jana tu kwanin hakuyaxema alipokosa Urais ndo anataka kuvuruga serikali ya Rais wetu,anafkiri cc wananch n mbumbumbu?hatutaki hata kumckia tuu
  3. B

    Ukawa sasa Dar kuanza kutumbua majipu sugu Dar

    Hapa n kazi tu hakuna cha ukawa wala nan fnya kazi ya serkali mzee
  4. B

    Mimi domo zege nifundisheni kutongoza

    Mapnz n kuridhia wew mwambie twende tukalale,kama atakuwa ameridhia kwako itz OK
  5. B

    Nani kampa rais Magufuli uwezo wa kufuta sherehe za muungano bila kushirikisha Zanzibar?

    Yeye ndo rais na wew ukiwa utafanya unayoyafikiria,rais aliepta wahanga hawakuwepo?mlixema?c mliendelea kula kuku na bia tu kweny makumbi ya starehe,hebu achen unafiki
  6. B

    RC Makonda: Safari za nje zilikuwa hazina manufaa kwa Taifa

    Namuunga mkono makonda kwa ujasiri wake,amwogope wa msoga kawa nan yey? C alixema hagombei tena urais?kazi za kuleana kama mtoto wa mjomba zmeptwa na wkt tunaenda na mfumo,kumbe hata ukipewa madaraka unamwogopa hata Mwl wako?
  7. B

    Wanaume komeni kututisha

    Axante nadhan umo kwa wanaounga mkono wanawake na wanaume haki sawa,haya andaa mahali ukaoeeee
  8. B

    Kwaheri Augustino Lyatonga Mrema, usanii wa siasa umekumaliza

    Magale na cheyo ndo sifuri cc tulixhawachoka hku kwetu hatuangalii chama,wametumikia tumeona utendaji kazi wao hawatufai (bench kwanza)
  9. B

    Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda, kutumia usafiri wa gari

    Hiyo bifu na Kenyatta wew umehusika? Muachage longolongo mbona hamkubali matokeo acheni JPM achape kazi hana bfu na mtu
  10. B

    Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda, kutumia usafiri wa gari

    Chana mbuga JPM najua wasio na vfua hawahemi,tupo nyuma yko kukuombea ktk utekelej wako kwetu wananchi
  11. B

    Nifuate taratibu zipi?

    Nilifiwa na mzazi wangu ambae alikuwa mtumishi nikiwa mdogo sana.Mpaka leo yapata miaka 18. Nimejaribu kufuatilia mirathi katika halmashauri husika nakaambiwa hakuwa anachangia mfuko wowote ,hivyo ni kosa la mwajiri na mwajiriwa. Hivi ni kweli? Nifanyeje wadau?
  12. B

    Nitumie njia gani niweze kupata mwenza wa maisha?

    Rudi kijiji kwako ukaoe then uje mjini
  13. B

    Tukumbushane mambo haya muhimu kuhusu mikopo

    Hapo umechemka co wte wanaochukua mikopo ni wasio nazo wengne n watumish so n halali ajenge/anunue gari na marejesho anacover vzr tu,labda ungetofautisha man
  14. B

    Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

    Asubir na yey awamu ijayo agombee atafanya vle
  15. B

    Basi gani ya Arusha-Dar inayokimbia sana?

    Unawahi nn mpka utafte mwendokas? Ungeondoka jana
  16. B

    Adhabu ya viboko mashuleni iendelee kuwepo?

    Vboko n kawaida xana xema kilichoharbu mzazi cku hz ametawala mpka ofcn na daraxan pia,me naona hata maofsa elimu raisi atawaonea tu chanzo cha watoto kufeli na maadili mabovu n wazazi
  17. B

    AJALI MWANZA: Basi la Dar Lux lapata ajali

    R.I.P (2) nawengine tuwazdishie maombi na dua kwa mwnyz mungu afya zao ziimarike
  18. B

    Kwanini wanaume wengi siku hizi hupenda sana kubeba mafuta ya mgando mifukoni?

    Cc hku hawapo labda waulize hko uliowaona afu utupatie jibu
  19. B

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    zitto yuko sahihi zngne ni chuki binafsi za kisiasa,kwan yeye kubenea alitaka ateuliwe nan? asubir kazi tuu
Back
Top Bottom