Search results

  1. Shikoloo.

    Je nyuzi hutoka baada ya mda gani na hutoka zenyewe tu?

    Habari, nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lkn doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lkn hadi sasa nyuzi hazijatoka, Je nyuzi hutoka baada ya mda gani na hutoka zenyewe tu? Na naona uume umejikaza je nikipona uume utarudi fresh? Msaada.
  2. Shikoloo.

    Msaada: Nimefanyiwa tohara Daktari aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe lakini hadi sasa nyuzi hazijatoka

    Habari, Nimefanyiwa Tohara wiki na nusu sasa lakini doctor aliniambia nyuzi zitatoka zenyewe na uume utajirudi vizuri lakini hadi sasa nyuzi hazijatoka. Je, nyuzi hutoka baada ya muda gani na hutoka zenyewe tu? Na naona uume umejikaza je nikipona uume utarudi fresh? Msaada.
  3. Shikoloo.

    Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

    Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama ameivuta sana hadi uume umekuwa mfupi. Je, nikipona uume wangu utarudi urefu kama zamani?
  4. Shikoloo.

    Naomba ushauri wa jambo la kufanya katika tatizo hili la tohara

    Nimefanyiwa tohara siku nne zilizopita daktari akaniambia bandage utatoa kesho, lkn nyuzi usizitoe zitatoka zenyewe, lakini nimekuja kutoa bandage nikakuta vile ameshona kama amekaza sana nyama ameivuta sana hadi uume umekuwa mfupi. Je, nikipona uume wangu utarudi urefu kama zamani?
  5. Shikoloo.

    Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    Hapo wote ni ubatili tu Wakatolic hayo maji nao ni ushetani tu siraha kubwa ni Maombi wala siyo mazingaombwe ya maji ya padre
  6. Shikoloo.

    Kwanini scientific names(botanical name) zina sound vizuri unapokuwa unazitamka?

    Africana Loxdonta Crukutacrukuta Pathera leo Hipopotumus Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shikoloo.

    Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

    Ni bar kwahyo nina leseni na kulipa ushuru Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Shikoloo.

    Huu Mwenge wa Uhuru unataka kufunga watu

    Leo katika shughuri zangu nikaletewa barua na mkurugenzi wa Misungwi ikinitaka nilipe 50000 kwa ajili ya mwenge,nimejiuliza sana yaani nilipe Leseni ya biashara, Ushuru, Kodi ya jengo, Kodi ya kiwanja, Takataka Umeme Maji Halafu tena nilipie Mwenge kama ni wa kula. Sent using Jamii Forums...
  9. Shikoloo.

    CMG bhana...yaani Msiba wa Ruge ulikuwa wa Kampuni ila Msiba wa Kibonde ni wa Familia yake..acheni Unafiki!

    Mm hata huwa siwaangalii ni wanafiki tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Shikoloo.

    Bilioni tatu na zaidi zilihitajika alipotekwa MO

    Futa ww Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Shikoloo.

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Siyo tu kitabu cha enoch kimesema malaika walizaa na binadamu hata kitabu cha mwanzo 6 kinasema hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Shikoloo.

    Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

    Nataka kwanza kujibu swara la kuongeza wala kupunguza,hapo hakuna sehemu iliyoongezwa wala kupunguzwa kama ni Kitabu cha Yakobo kwenye kitabu kile usiongeze mengine lkn swara la vitabu lenyewe kuna vitabu vingi mno yawezekana kusingewezekana kitabu kimoja kubeba yote kwahyo kama biblia ingine...
  13. Shikoloo.

    Clouds 360: Askofu Lyimo alikosea kuuliza swali la kisiasa ( kuhusu demokrasia) kwenye mkutano wa kidini na Rais Magufuli

    Mm huwa nina mashaka na uelewa wa huyu Ngoma maana kuchangia kwake kama shoga fulani hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Shikoloo.

    Spika Ndugai: Lissu asubiri Muziki wangu

    Naona siku hizi Dodoma wanalima Bangi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Shikoloo.

    Malalamiko juu ya king’amuzi cha continental

    Continental decodar usijaribu wala hata kuuliza bei yake hata kama ukipewa bure usijaribu kabisa Kwanza,chanel zao kila mda zinakata na zinaweza kata siku mbili Pili ukilipia unamaliza hata wiki ndo unapata channel Tatu namba yao ya huduma kwa wateja yaani haipokelewi hata ukipiga wiki...
Back
Top Bottom