Search results

  1. GWeLa 2003

    To you Power Breakfast: Fumbo mfumbie mjinga, na ufumbapo usiwe mjinga!

    Ila Hando msimshangae kumbuka kuwa yeye pamoja na kibonde walikuwa ni ma-MC kwenye BDay ya JK na wakaombwa sanaa wawe wana isifia ccm kwa nguvu ZOTE Na muda mrefu sijawahi sikia clouds FM wakiikosoa CCM... Ila by now CDM ni adui NO moja wa CLOUDS MEDIA
  2. GWeLa 2003

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    maranyingi HAKI ili ipatikane lazima baadhi ya watu hubaki vilema hivyo CCm chonde chonde msitupandishe hasira wapenda mageuzi
  3. GWeLa 2003

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    I believe n i hope kubenea ni mtu makini hawezi fanya hivyo...huwezi kulinganisha kubenea na viongozi wa CCM ambao mara nyingi huramba matapishi yao
  4. GWeLa 2003

    DR Lwaitama anena kuhusu Chadema; Nimeipenda sana

    hongeara sana Maggid kwa thread yako..maana ukweli mara zote upo pale pale kuwa CDM ni chama peekee cha kumkomboa mTZ , tunamsubilia mzee Mapunda wa Tazama naye abadilike...maana kwa sisi wenye uelewa tunashindwa kuelewa makala zake ktk jamii
  5. GWeLa 2003

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    hivi ni lini tz govt itakuwa na ujasiri wa kukamata viongozi na kuwawajibisha kama tunavyoona kwa BOSS WA IMF
  6. GWeLa 2003

    Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    kyabo ni mtu aliyekufa kisiasa...ndio maana tangia uchaguzi nimemsikia leo, ni kama toilet paper anatumika kama pitio la hoja
  7. GWeLa 2003

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    yangu macho
  8. GWeLa 2003

    Mixed reaction to CCM resignations

    amuulize richard Kyabo CCj/CCK/tadea/chadema/ccm...ametumiwa kipindi cha uchaguzi...na kwa sasa ametupwa km bua...inasikitisha kwa wanasiasa njaa
  9. GWeLa 2003

    Tamko la waislam wa Tanga

    mhh...navyoona muslim inabidi wajisajili ili kiwe chama cha siasa...kutokana na azimio la kukaa mnalumbana na chama cha siasa instead of kujadili mambo ya kimaendeleo. maana haileti mantiki katika jamii kuona muda wote wa matamko yenu Chadema inakuwa moja ya agenda zenu je CCm itakapowageuka...
  10. GWeLa 2003

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    mimi mwenyewe nilishawahi kusikia tamko la kigoma na morogoro...niliona masheikh kinachowasuumbua ni elimu ndogo..maana maaskofu wana elimu za PHD .. hivyo wanaongeo reality while ma sheikh wanaongea Nadharia (MYth) ndio maana hata wao wenyewe walitangaza kuwa kubenea na ulimwengu ni waislam...
  11. GWeLa 2003

    CCM wamebana wameachia KIGOMA..!

    Kwa hali wana kigoma na chadema kwa ujumla tunawapa pongezi pamoja tutashinda
  12. GWeLa 2003

    RAI ladai USA na EU zafadhili hoja ya KATIBA MPYA

    me GAZETI LARAI..TANGU SIKU NYINGI NILISHAACHA KULISOMA, HUWA HALIJENGI HOOJA
  13. GWeLa 2003

    Chenge kupoteza ubunge 2015?

    wanajamvi naomba mnieleweshe kwa hili, tuchukulie chenge asingekuwa na hiyo lakisaba then akafungwa maana ndio ingeonekana jinai....kwa mtazamo wangu naona sheria zina favour wenye kipato na c maskini kwa maana chenge ashahukumiwa...je hiyo sio jinai? na kakutwa na hatia!1 hakuna uhalali...
  14. GWeLa 2003

    Chenge kupoteza ubunge 2015?

    bila ya katiba mpya tutaendelea kuona hukumu mfu kwa public figures..chenge alitakiwa afungwe jela miaka mi5 na faini ya 700,000/= hakuna kiongozi ambaye ameshawahi kupata adhabu kali..bali wanaendelea kuenjoy the wholly system..jikumbushe kesi ya Ditopile, liyumba,zombe
  15. GWeLa 2003

    Namtakia Maisha Marefu Dk. Wilbroad Peter Slaa (PhD)

    Dr slaa mungu amzidishie uzima wa milele 2015 ndiyo maana mapandikizi kama akina tropical wakisikia jina lake wanapiga chapya
  16. GWeLa 2003

    Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010

    Kikwete hana jeuri ya kujibu tuhuma...ni rais mwoga asiye na maamuzi
  17. GWeLa 2003

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    wadau mbona zito nakuwa na kauli tata, tumueleweje!!1
  18. GWeLa 2003

    Nilichokiona leo mwenge stand

    duh mwanahalisi linahitaji tuzo
  19. GWeLa 2003

    Kigogo amegeuka chinjachinja kwa ukwimwi.

    sasa hujui kuwa serikari yetu ilani yake kuu ni kurindani
Back
Top Bottom