Search results

  1. M

    Nataka korosho 100kg

    Wana jamii. Natafuta korosho kg 100 sasa hivi. Kwa Mtu alokuwa nazo hapa dar .Raw (white kennels) kama unazo nijulishe namba 0629839854
  2. M

    Biashara ya mazao

    Salute Ndugu . Niambie katika mazao haya unayoweza kupata . Inahitajika tani 5 kila mwezi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Maduka ya jumla ya vitu vya ujenzi

    Naomba msaada kwa wenye kujua maduka ya jumla ya vifaa vya umeme. Na ujenzi (hardware)
  4. M

    Natafuta mradi wa kufanya

    Nina uwezo wa kufanya investments 80 mil.shillings kwa ushirika naomba mwenye kujua mradi unaofaa. Iwe Dar au mkoani
  5. M

    Tuamkeeee

    Nilikuwa najaribu kutafiti ni faidi au hasara kwa Tz kuwanyima haki wazazi wa wenye passport za kigeni (Desporas). Niliangalia mfano mmoja, kila mtu anapostahafu hufikiria kurudi kwao na kuishi uzeeni. Nikichukua sehemu ndogo tu ya Desporas Uk utaona wako kati ya laki 3 mpaka 5. Kiwango cha...
  6. M

    Kupenda chama ni upotofu

    Hivi ukiangalia sana utaona vyama vya upinzani hawaoni zuri la chama kingine .na wa kilioni hukaa kimya .na baya dogo litapigiwa mbiu..na kulifanya ndio fursa ya kuonyesha udhaifu wa chama tawala. Ukweli vyama vyote ni kwa manufaa yao ..mpango ni kumiliki mali za nchi . Tujiulize ukawa...
Back
Top Bottom