Search results

  1. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Au hawa wachezaji wa man u wapo katika mgomo mbona sielewi elewi ?????????
  2. M

    Kubenea muombe radhi Makonda

    Kura za Masaburi??? 2020 mpige tu mkichemsha tena zitaharibika
  3. M

    Yule mke wa kachero wa TANAPA...

    Kwani imethibitishwa kwamba anahusika na mauaji ya mumewe???
  4. M

    Human microchips analysis

    Kuna umuhim wa kufa mapema kabla ya hii kitu haijafika huku
  5. M

    Ile hoteli ya Morogoro ishavunjwa?

    Kwani ipo jangwani??? Anyway ipo na watu bado wanaendelea kula bata pale
  6. M

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Huenda kipindi kile alikuwa na pepo
  7. M

    Mimea hatari ya kichawi

    Ndio maana wazungu wanaendelea kumbe hizi vitu zinahusika sana
  8. M

    Mtu aliye jirani na Meku's Moshi, tujuane hapa

    Nipo pm huku njoo tufanye yetu
  9. M

    Wachagga leo watakufa

    Sipati picha wakazi wa Rombo wapo katika hali gani hadi muda huu
  10. M

    Nachezea kitovu niwapo usingizini, nitaachaje?

    Nunua pingu ikifika usiku unajiweka chini ya ulinzi nakujifunga pingu mikono nyuma then unalala
  11. M

    Mikadi Beach Sio Salama Siku Za Sikukuu

    Vipi manji hajafanikiwa kuinunua???
  12. M

    Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

    Hahahaaa.... Hapana mkuu
  13. M

    Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

    Mrejesho:Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu Hatimae jamaa kakubaliwa ila sasa kaspend pesa nyingi sana kwa siku ya leo. Japo binti kamkubalia ombi lake ila naona kabisa hawawezi dumu kwani huyu dada anaonyesha anapenda sana maisha ya juu. Na bado kesho anataka kutolewa tena ili wakale...
  14. M

    Hebu tumwogope Mwenyezi Mungu Jamani! Hivi kweli ni Halali?

    Japo na wewe ni mkuda ila nao hao tabia yao sio nzur
  15. M

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku mikutano ya kisiasa

    Tunaposema Tanzania hakuna democracy wengine wanabisha
Back
Top Bottom