Search results

  1. J

    Nahisi marehemu alirudi kuniaga

    siku nyingine atakuja akuchukue muende wote mkaiosome biblia mkuu, jiandae
  2. J

    Zifahamu faida ya kutumia tangawizi katika mwili wa binadamu

    Bila shaka inasaidia na nguvu za kiume
  3. J

    Samsung Galaxy J2 Pro

    wakuu napenda kuuliza kuhusu simu tajwa hapo juu, uwezo wake (kitaalam), je zimeshaingia hapa kwetu?
  4. J

    Msaada usafiri Dar to Mbeya

    Asante mkuu kwa ushauri
  5. J

    Msaada usafiri Dar to Mbeya

    Kabisa mkuu kwa basi nadhani nitajifunza mengi
  6. J

    Msaada usafiri Dar to Mbeya

    Jumapili iwe njema kwenu wakuu, siku za hivi karibuni natarajia kwenda Mbeya kwa mapumziko madogo, je, ni kampuni gani nzuri na uhakika ya mabasi kwenda huko. Karibuni
  7. J

    VEVO wamemtimua diamond hauzi

    Harmonize na Rayvanny wameimba wimbo gani wa kiingereza..!
  8. J

    Maajabu 10 ya CHADEMA na viongozi wake

    namba 7 na 9 nimezielewa zaidi
  9. J

    Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Mbeya umeonekana, Ramadhan Kareem to all Muslims
  10. J

    Tanzania haimo katika orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa wasomi duniani

    nchi za Afrika zipo ngapi kwenye hiyo orodha
  11. J

    Ni awamu hii tu ya uongozi ambapo hata Diamond anazindua miradi

    mradi wa nini mkuu, flyover, standard gauge au nini
  12. J

    Mhe. Sumaye: Kamwe Huwezi Kupata Mtoto Bila Kwenda Leba

    sindano zinawaingia vizuri
  13. J

    Je, Tundu Lissu aweza kuwa Mwanasheria bora wa Afrika?

    weka data mkuu usianze kukinzana na authority uliyoweka kwenye mada yako mwenyewe.
  14. J

    Je, Tundu Lissu aweza kuwa Mwanasheria bora wa Afrika?

    fanya tafiti mkuu, usiendeshwe na mihemko uliyoipata google, hiyo search engine haiwezi kua kigezo cha kumfanya Tundu kuwa mwanasheria bora Africa. No Research, No Right to Speak
  15. J

    NHIF wakanusha kuwa na hali mbaya, wafafanua kuhusu huduma mbovu kutolewa kwa wanachama wake

    Mfuko huu wakijanja janja sana, kipimo kidogo tu unaambiwa hakiingii kwenye bima, dawa pia hivyohivyo
Back
Top Bottom