Gari nzuri ya mkulima ni hiyo 5 door nyekundu au hiyo fupi yake 3 door,,hiyo japo ni old model lakini ni gari ngumu,,spea zipo kila mahali bei chee,,hiyo nyeupe ni sawa na kuwa na wake watatu nafikri umenielewa ,,,,
Hali ilivyo sasa mashine hii ni kidudu mtu kinanyoa kodi kwenye mauzo hatutaki....mashine hii haijui mtaji.gharama za uendeshaji.nk.yenyewe inaingia kwenye mauzo moja kwa moja ...
Sisi wajasiliali si ugomvi wetu ni mfumo uliomo ktk mashine hizo...KWAMBA HATUUTAKI MFUMO....SIO MASHINE...narudia tena ..HATUUTAKI MFUMO WA MSHINE HII KUKATA KODI KWENYE MAUZO..TUNAOMBA MASHINE IKATE KODI KWENYE FAIDA
Eddy sasa nini kifanyike. City wanasema kwa maana mandhali ya jiji haipendezi wao kuwepo maeneo yale mfano mama ntilie.wauza vitumbua.maandazi.leso.nk.sasa
Nini kifanyike ktk kuliweka jiji safi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.