Search results

  1. johnsonmgaya

    Hesabu ya maisha, vipi kwa maamuzi haya nimebugi au iko poa?

    [emoji23][emoji23][emoji23] nimejikuta nacheka tu
  2. johnsonmgaya

    Kuhusu tozo ya kodi kwenye umeme kuna swali tunalisahau

    Habarini wandugu, Nimekaa nimewaza kuhusu haya makanganyiko yanayoendelea kuhusu hii kodi mpya, Wengi tumejikita kuuliza kuhusu wapangaji kumlipia mwenye Nyumba basi. Binafsi naona kuna shida au uonevu sehemu nyingine ambayo tunaisahau kuiulizia. Nyumba nyingi za pembezoni mwa mijini nina...
  3. johnsonmgaya

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Issue ipo hizi, unapofungiwa umeme wanakuunganisha moja kwa moja kwenye Matumizi makubwa ya Umeme utatumia hivyo kwa miezi 6. Baada ya hapo unatakiwa uende kwenye Ofisi ya TANESCO ya kwenu ukawaeleze hili, ukifika pale wataangalia kwenye mifumo yao kama utakidhi watakuhamisha, ***********...
  4. johnsonmgaya

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Leo nimewapata watu wa Mkuranga wamenifahamisha kuwa bado vifaa (meter) hawajaletewa kutoka makao yao makuu ambayo ni kibaha, Niendelee kusubiria hadi itakapokuwa tayari, kwa jibu la haraka ninaelekea kufikia siku ya 60, kimkataba tu kisheria makubaliano niliyopewa kabla sijalipia niliambiwa...
  5. johnsonmgaya

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Majibu yenu ni hivyo hivyo siku zote, nimereply post yangu ya nyuma ambayo mliniuliza the same qns na nikawajibu. Any way Jina: Johnson mgaya Simu: 0768900531 Eneo: mkokozi Wilaya: mkuranga Tatizo: kuungaishiwa umeme Muda: siku 30 zimeshapita tangu nilipie umeme Mazingira: nguzo ipo...
  6. johnsonmgaya

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi tanesco siku 30 za kufungiwa umeme huwa ni za nini? Ni kweli upatikanaji wa vifaa unaweza chukua huo muda wote? (Just meter tu) mtu unaamka unaangalia nyaya zimepita bati lako lakini wewe huna nishati ya umeme, mbaya zaidi majibu yenu ni yale yale vifaa bado hatujapata, zikiwa tayari...
  7. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Nakosa cha kuandika!
  8. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Mkuu usinichekeshe aisee, Kwenye maisha sio kipato pekee ndio kinabadilisha maisha ya mtu, Akili ndio kila kitu kwenye maisha Kuna watu wanavipato vikuu lakini hawana hata viwanja, kuna watu wana mishahara mikubwa lakini hawana hata biashara pembeni kama backup, Kwa mada yetu hii iliyopo...
  9. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Dafu mjini ni 1,000/- Kwa ujazo wa hivi vitenga 3 kila moja wanauwezo wa kubeba 20 20, so ni equivalent idadi ya 60.
  10. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Kwa kuwa walikuwa wengi na wote wapo comfortable, kusema kuwa ni zali la mentali tu leo sishawishiki kukubali. Ila Nina hakika hii ndio ratiba yao ya kila siku. Ofcoz kila kitu kina gharama ya uendeshaji, kwa biashara hii labda gharama ni manpower. Kufata mzigo shambani, kuendesha baiskeli...
  11. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Neno Poti wana tumia watu wa Kabila lipi? Nini maana ya pengine? Thread ya biashara hatuulizani Kabila chief, [emoji4]
  12. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Mku umeandika vitu vichache sana ila vina maana kubwa sana, Hapo kwenye nguvu anayotumiwa ni kubwa kuliko faida anayopata ndio hapo binadamu tupotofautiana mawazo, Pengine ndio maana kuna watu wapo tu duniani kazi yao kuuza mawazo, Ila. (Acha nitoe fursa ya bure hapa) Mtu unaweza ukatafuta...
  13. johnsonmgaya

    Tusiwachukulie poa wauza madafu

    Nipo zangu feri kwenye kivuko cha Magogoni narudi nyumbani saa 7 mchana huu. Kichwa hakiko Sawa maana “mchongo” niliofata town umebuma hivyo nikajiwazia zangu heri nirudi mapema nikacheze na watoto wangu tu atleast. Mar pah macho yangu yanavutwa kutazama kundi la wauza madafu wengi wakiwa...
  14. johnsonmgaya

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Heri ya mwaka mpya. Napenda kuipongeza shirika la umeme Tanzania kwa kunifikia kwa awamu ya kwanza. Baada ya kuandika ujumbe huu juzi jumamosi nilitembelewa na wahusika nyumbani kwangu nashukuru wamejionea Changamoto tunayoipata na uhitaji tulio nao...
  15. johnsonmgaya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    United sijui tumpate wapi striker atakae mfaidi huyu mwamba
  16. johnsonmgaya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole is too young for United, hana mbinu wala Plans mbadala pale tunapokuwa nyuma, Mechi zote tulizofanya com back ni uzoefu na mipango ya wachezaji tu sio yeye Mwalimu.
  17. johnsonmgaya

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ukweli ni kwamba ole anafeli kupick wachezaji kuendana na fixture husika. Ole anawachezaji wake anaowapenda ambao wanamgharimu maana inaonyesha hata kuwakaripia hawezi. Mtu kama martial bila kificho ole ana mpenda sana, chunguzeni martial akishinda huwa anashangilia sana kuliko wachezaji...
  18. johnsonmgaya

    Must see Movies

Back
Top Bottom