Search results

  1. Naanto Mushi

    Maisha yamenichapa haswa

    Kama hauna aibu kama mimi au sio bishoo. Uza simu hiyo ingia sokoni asubuhi ununue tenga la nyanya utembeze na baiskeli hapo mjini daslam lazima utapata hata 5000 ya kula kila siku. Regret haitakutatulia matatizo. Tushapitia hizo shida na sisi. Nilianza kuuza simu ili nipate hela ya kula...
  2. Naanto Mushi

    Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Kenya is struggling.... visa free ni moja wapo ya namna ya kutapatapa... kwamba iwe rahisi raia wa nchi za nje waingie Kenya walete dola na kuiokoa shilingi yao ambayo ipo matatani. Kwamba ikiwa wakiweka visa free na nchi nyingine waka reciprocate basi raia wa kenya waende nchi za nje kufanya...
  3. Naanto Mushi

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Umewaza kwa hisia sana mkuu... kuna wengine huwa wanatamani ile siku wangezaliwa wangekufa papo hapo, ili kutokuijua kabisa dunia.
  4. Naanto Mushi

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Kwasababu haibadilishi chochote kwenye maisha ya watu. Sawa ni kiongozi, ila usitake kuniambia kwamba kutokujua alipo kunasababisha watu wasifanye shughuli zao za kila siku.
  5. Naanto Mushi

    Joram Nkumbi huyu dogo ni genius

    JF imekuwa ya hovyo sana siku hizi.
  6. Naanto Mushi

    Miamba dhoofu chanzo cha maporomoko Hanang

    Uchunguzi ni muhimu kufanyika, shida sio mvua, shida ni kwamba kwanini watu waliruhusiwa kujenga maeneo yenye high risks ya mud floods??
  7. Naanto Mushi

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Kila mtu duniani ana safari yake. Tusiombee watu vifo kwasababu hakuna atayeishi milele. Mtu akifa usione kana kwamba wewe umependelewa sana na Mungu kuwa hai, siku yako yaja pia.
  8. Naanto Mushi

    Tungejipanga kwenye Majanga kama tulivyowekeza Polisi bila shaka tusingetumia mikono kuondoa tope Hanang

    Shida ni kuamini kwamba serikali wapo ontop kwenye kila kitu. Wapo wapi wanasayansi na wasomi ambao wangeweza kushauri raia wasijenge kwenye mazingira yenye hatari ya mud floods?
  9. Naanto Mushi

    Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Sio sijaamua mkuu, ni maisha tu... kwanza kilichonipa setback, kikao cha mahari kilivunjikaga, ni story nyingine hiyo... ndo ikanipoteza munkari kabisa...
  10. Naanto Mushi

    Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Asante sana mkuu, ngoja nitafanyia kazi hili suala liishe ndani ya hii miezi 12 inayokuja
Back
Top Bottom