Search results

  1. Cologero

    INAUZWA Nauza modern router ya TTCL Tsh 45,000

    ADSL2/2+MODERN ROUTER 150 Mbps Wireless N SWITCH LAN 4 PORTS STATE OF THE ART SECURITY VIS FIREWELL AND WIRELESS ENCRYPTION. 0737167579
  2. Cologero

    MSAADA: JINSI YA KURUDISHA PICHA, VIDEOS PAMOJA NA MUSIC KATIKA MEMORY CARD (SD CARD) AMBAYO ILIKUA ENCRYPTED.

    Habari za mda huu waungwana!!!! Natumia Samsung grand prime plus, ambayo storage yake ni ndogo sna kwa hivyo niliamua kununua Sd card au memory card kama wengi wetu tulivyo zoea kuiita. Kila kitu ambacho kina husiana na gallery na music vyote niliviweka katika storage ya external ya Sd card na...
  3. Cologero

    Naomba kufahamishwa vigezo vinavyohitajika ili upatiwe visa ya kufanya kazi Marekani

    Habarini za mda huu wana jamvi Naomba kufahamishwa vigezo vinavyo hitajika na ubalozi wa Marekani ili upatiwe visa ya kufanya kazi nchini kwao. Nimejaribu kwenda kwenye site yao lakini sjaelewa vzr ambae ana experience please msaada unahitajika.
  4. Cologero

    Bank ambayo haina makato ya kila mwezi

    Habari za mda huu ndugu zangu naombeni kuuliza ka waha Tanzania kwetu kuna benki yoyote ambayo haina makato ya kila mwezi na kama ipo ni ipi ili nikafungue account na mm niwek kihakiba changu. Natumai nitapata msaada
Back
Top Bottom