Search results

  1. J

    sony vio parts forsale,laptop

    nina sony imeua motherbord,nauza kama spea,inakilakitu,model nomber VGN-FJ270 kama vipi piga 0655945598
  2. J

    Ni kubota au khubota?ufisadi mwingine wa power tila.

    hii serekali ya sisiemu kweli ni uoza mtupu,jana kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku walionyesha tena ujuzi wao wa kuwadanganya wapiga kura wao wakulima ni kwa namna gani ni ma mbumbumbu,wamewaletea power tiller feki zenye jina khubota badala ya kubota.serekali ilishasema hakuna bidhaa...
  3. J

    Naomba msaada shule ya private science a lavel

    tafadhalini wandugu naomba mwenye kujua ilipo shule nzuri ya mchepuo wa sayansi.nina mjomba wangu ndio mwenye uhitaji.ada iwe ya jamaa isiwe ya kifisadi tafadhalini kwani uchumi wenyewe sio mzuri kivile.asanteni kwa msaada wenu.
  4. J

    Man united ni mafrimason

    hawajamaa kama utakua umewafuatilia kwa uhakika utagundua ni frimason live,angalia mazingira wanayoshinda na magoli wanayofunga utaamini kunakitu hapo,sio suala la kuacha kulijadili,tena hawa jamaa unapokua unaongoza kwa goli moja au mbili,sikuhiyo baada ya mechi lazima wachezaji wapewe...
  5. J

    Babu wa loliondo ni chadema

    inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza ndipo wafuatie wapiga kura.na habari nyingine wanasema kua usafiri wote wakwenda kule ungesimamiwa na...
  6. J

    Laptop inauzwa

    emachine.ram1gb,procesor1.6,hard disc160./ sumsung.ram2gb,procesor2.0,hdd260.zote mpya.bei 430000tsh.
  7. J

    Natafuta darasa special la kiingereza

    nipo arusha,kunarafiki yangu anatafuta darasa maalum kwa ajili yakujifunza lugha ya kingereza.vyuo vipo vingi sana kwa sasahivi yupo pale jengo la molell alakini hakuridhika na mafunzo anayopata.tafadhali kwa anaefahamu wapi lilipo chuo,shule,au mwalimu mzuri wa kumsaidia.bei watapatana hili...
Back
Top Bottom