Search results

  1. M

    Shinyanga: Mfanyakazi wa TTCL afariki kwa kupigwa jiwe na Mumewe

    Poleni sana familia zote mbili kwani shida kubwa kwa mtoto wao
  2. M

    COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    Valentine Day ni nini? Je! Ni wangapi wanafahamu haya? Soma japo kidogo then tafakari kwa kina! Kwa vile hakuna jambo lisilokuwa na chanzo! Muhimu zingatia uelewapo!!! Valentina Edgan alizaliwa tarehe 14/2/1932 katika jiji la Valensia huko Hispania, kafiri huyu ndiye alitumia mabilioni ya dola...
  3. M

    Tume ya jaji Warioba kuunguruma tena tarehe 2 Novemba, Blue Pearl

    Tafadhali mtujuze yalojiri huko Bongo Blue Perl leo, maana huku tuliko Ng'o hatuoni LiVe wala Dead!
  4. M

    UDASA wakiri mdahalo wa katiba UDSM ulichezewa rafu na CCM

    Jamani kabla ya kuandaa jambo lazima upime na ikibidi fanya kautafiti juu ya nini kinaweza kutoakea kwenye hilo mnalopanga, Risk assessment and mitigation should be considered before you implement, the CCM are good in such situation, this is not the first time but they research. A bit then they...
  5. M

    Wassira kafungua njia; Wazee wana nafasi kubwa 2015 kuliko vijana. Historia kujirudia?

    Tutawasikiliza kwanza kupitia vikao sahihi vya ccm, aweza kuwa Rais mzee ila baraza la mawaziri likawa la vijana, na huyo mzee akawa tayari kufanya ya vijana na Nchi ikaenda Twahitaji mchapakazi wa matatizo yanayoikabili nchi yetu na watu wake na siyo ujana utatatuwa matatizo na wala si ujana si...
  6. M

    Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana

    Hongera omokalikali wa nyahene, okolile bhahene!! Hongera & big up umucha!!
  7. M

    Hamad rashid: serikali 3 ni mzigo na ni gharama kwa watz maskini

    Jamani huyo Ghasia vipi na Mzee Warioba, mnamsikia???
  8. M

    Hamad rashid: serikali 3 ni mzigo na ni gharama kwa watz maskini

    Hapana Zitto kama lilivyo jina lake ni mzitto kuingia mkenge huo
  9. M

    Hamad rashid: serikali 3 ni mzigo na ni gharama kwa watz maskini

    Muh Hamad nto kafunguka kwa hiyo yuko sahihi kwani kila mtu kapewa akili za kufikiri na kutafakari awezavyo, muh kashtuka na kesho atakuwa mwana Ccm mkuu!!
  10. M

    TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

    Heri yake tunamkumbuka sasa, sijuwi sie tutakumbukwa au la!! Allah ampe haki aliyomuandalia nasi atupe haki.
  11. M

    Maaskofu 32 Katoliki wataka Tume ya Warioba iheshimiwe

    Maaskofu ni kama wajumbe wa bunge tu hawana jipya!
  12. M

    Ponda apinga Mpango wa Serikali kuweka ulinzi misikitini

    SHEIKH PONDA AIBUA MAPYA ''Hakika mpango huo ni ajenda ya siri kwa waumini wa kiislam, serikali ijibu imekusudia nini kwa uwazi kwa waislam wa Tanzania, wapi duniani ama kwa dunia ya uislam kamati za namna hii zipo? serikali iwe makini vinginevyo itabaki na wasiokuwa waislam na waislam...
  13. M

    Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    Wapendwa Wazalendo mimi nachosema ni Hiki: BORA NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI, hivi madawa ya Viwandani ni salama sana kuliko yetu ya asili? Watanzania lazima tufunguke macho na masikio kwani madawa ya asili ni bora kuliko hayo ya viwandani ambapo wengi wa watengenezaji wamekuwa si wa kweli...
  14. M

    Rais Kikwete atoa wiki mbili kwa majambazi kusalimisha silaha na kujisalimisha

    Naunga mkono na kwa kweli tumechelewa mno, watu hawa wanafanya Nchi yetu kuwa kama Dangulo la kufanyia wanachotaka, Wasakwe na adhabu kali itolewe na wale wanaowafadhili kwa kuwawezesha kuja nchini na kuishi na kufanya uhalifu nao wasakwe na kupata adhabu zaidi ya wageni kwani wao ni hatari...
  15. M

    Lini reli ya kati na Tazara itakuwa hivi

    reli ni muhimili wa uchumi kwa watanzania na wazambia, kwangu mimi pia reli ni usafiri kama usafiri mwingine ndani ya nchi yetu, kwa fikara zetu ni muhimu kubadilika na then mambo yatakwenda, naamini kuwa watanzania tunaweza sana isipokuwa ufinyu wa mawazo ni tatizo kwa wengi.
Back
Top Bottom