Search results

  1. A

    Nguvu ya bikra katika mapenzi

    Au ameamua kujitunza. Au ameamua kushika amri za Mungu.
  2. A

    Mipango ya Mungu (Yanayomsibu Celine Dion)

    Aisee...maovu unayoyaona leo yameanza na anguko la dhambi huko Eden. Okay Mungu hakushindwa kuumba ulimwengu ambao hauna uwezekano wa uovu. Ila alitaka kuumba ulimwengu ambao watu watakuwa na upendo wa kweli kwake. Ndio maana akawapa free will. Binadamu alikua na uwezo wa kuchagua kumpenda...
  3. A

    Mipango ya Mungu (Yanayomsibu Celine Dion)

    Hivi kwanini huwa mnatumia akili za darasani ku-reason na mambo ya kiroho? Okay lemme help out here. Mungu aliumba ulimwengu usio na maovu au mateso. Kilichokuja kuharibu ni dhambi ya Adam and Eve. Mungu ni Mungu wa principles. Kila kitu kwake kina consequences. So Adam na Eve walivyotenda...
  4. A

    Tuzo za Grammy 2016 hatimae zatoa washindi.. Bieber, Kanye, Drake, Adele, watoka patupu!

    Adele hakua nominated sababu alichelewa ku-release album yake. Kuwa nominated for 2016 Grammys inabidi kazi zako uwe umetoa between Oct 2014 and Sept 2015. Adele aliachia album yake Nov 2015. Which means alipitiliza deadline tuseme. Kwa hiyo atakua eligible for 2017 Grammys. Na anatachukua...
  5. A

    Baada ya Manny Pacquiao kuupinga ushoga, Nike wavunja mkataba

    I have so much respect for this man now.
  6. A

    How many pairs of pants do you have?

    30 pairs. All white. I replace them every 3 months. I looove underwears.
  7. A

    What should I do about this long distance relationship?

    Hata mi mbongo so toa ushauri tu huo.
  8. A

    What should I do about this long distance relationship?

    Okay ni hivi, my boyfriend is in Canada and I'm soon going to another country. Yeye anasema ana mpango tuoane in the future lakini mimi sina huo mpango nae kwa kweli. We are both 20 na sitaki kuwekeana such promises at this time. Tatizo jingine ni kwamba tuna dini tofauti. I can't marry...
  9. A

    Wasichana na wavulana wa bongo kutwa nzima mnanunua nguo madukani, mnatoa wapi pesa?

    Sio vizuri hivyo. Unatakiwa ufurahi kuwa tunatimiza wajibu wetu kama wazalendo ku-improve uchumi wa nchi. Join us my flendi!
  10. A

    Nani msumbufu hapa?

    Sometimes na nyie hamuelewi. Mtu unamwambia no, you clearly show that you're not interested lakini bado atakutext kila sikuu japo haumjibu. Hapo inabidi kumwonea huruma tu na kumblock asipoteze muda wake.
  11. A

    Guys i need your help

    You seem to have low self esteem... Stop comparing yourself with other people. Be proud of who you are..there's only one you in this world. Just change your attitude young lady.
  12. A

    Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

    Yani kuna watu hela haiwazuzui. Na maisha ya kifahari hayawavutii hata kama wanayaweza. Ni lifestyle tu ya mtu.
  13. A

    Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

    Most people don't even know the actor. Hakuna anayemuabudu.
  14. A

    Akikosolewa Alikiba sawa, ila akikosolewa Diamond chuki!

    Yani nilikua na-expect wimbo wa Make Me Sing utakua na beat ya ukweli...like a song you wanna dance to. Sasa wimbo wenyewe sijui wametumia kinanda tu yani unaboa! It makes me wanna sleep. #teamgoodmusiconly.
  15. A

    Kipi kiguma kwako

    Kuacha ngumu.
  16. A

    Single mothers huwajaza watoto wao chuki mbaya sana

    Yani hao watoto hata usipowajaza chuki wakikua watampendea nini baba yao kama alikua hajishughulishi kwenye maisha ya familia? My mom is a single parent. Yeye siku zote ni kuimba mpendeni baba yenu, mwombeeni, muwe mnamjulia hali etc lakini mimi ndo sina interest yani nimempotezea maana mzee ni...
  17. A

    Nimnunulie zawadi gani hii siku ya valentines?

    Hehehe huu ubinifu ni sheedah
Back
Top Bottom