Search results

  1. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    thanks the boss pamoja na wachangiaji wengine kama wawili hivi mmenishauri vyema, wengine wamelazimisha kuelewa wanavyotaka wao, na mtu ukisema ukweli unaonekana unajisifu.
  2. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    title isikuchanganye sana, inaweza kuwa sio sifa zote, ila nimeamua kuweka title fupi ndani ndo ukute ninachoelezea.
  3. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    kuwa mstaarabu, kama huna la kunisaidia kaa kimya, najua ni dharau imekujaa coz nimesema 2, 3. But to me thats enough. hizo 10,20 ni za kwako, naona umeng'ang'aniiiiiiiiia.
  4. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    duh, yamekuwa haya...
  5. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    Dah, kuna wawili ila sio type yangu kabisa, mmoja ni mke wa mtu, na mwingine hajaolewa ila ana mtoto. Kwa kifupi kuna gap kubwa kati ya wasichana niliokuwa nao enzi zile na ninaokutana nao this time. Na kazi ninayofanya inanifanya niwe mbali sana na wasichana wazuri wa rika langu.
  6. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    hayo ni mawazo yako mkuu.
  7. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    in short sina kawaida ya kutafuta wasichana sehem za namna hii, nimekuja ku-shere hapa mmu nikijua huenda kuna mtu ashawai kutana na ishu kama yangu, what if kama kuna kitu nakosea??
  8. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    mkuu nachelea kusema kwamba umenielewa vibaya, na wala sipo hapa kwa ajili ya kujisifu maana ni upuuzi kujisifu with anonymous id, nani anayenijua hapa jf?? Mkuu wewe hujui lakini mwenzako kila siku najiuliza sababu ni nini, may be hayajakukuta ndo maana unaona nimekuja kujisifu.
  9. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    Duh, naomba ushauri na wewe unanipa pole??
  10. ZIPOMPAPOMPA

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    Nonetheless!
  11. ZIPOMPAPOMPA

    Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    Ngoja faizafoxy aje, atakujibu.
  12. ZIPOMPAPOMPA

    Sugu awatukana waandaaji wa fiesta kwenye facebook

    Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila. Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly" so please if that is true then msiondoe hii thread.
  13. ZIPOMPAPOMPA

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kama sielewi nieleweshe, kwani kuuliza ni vibaya?
  14. ZIPOMPAPOMPA

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    WATANZANIA WENZANGU HEBU TUACHE USHABIKI HALAFU TURUDI KATIKA UKWELI NA UWAZI, KAMA NI KUCHAFULIWA NA KUONEWA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA AMEONEWA NA KUCHAFULIWA SANA, LAKINI NAPENDA KUULIZA, JE NI KWELI MZIGO WOTE WA UFISADI NA UBAYA WOTE UNAOTENDEKA TANZANIA LOWASA NDIO TOP OF ALL??? LEO HII KILA...
  15. ZIPOMPAPOMPA

    Nafasi za kazi mzumbe university

    Kwa nini ma tutorial assistant ndio wengi???? 1:4
  16. ZIPOMPAPOMPA

    Mwanamke na kufika kileleni

    Heshma kwenu wakuu. Nina mrembo mmoja ambaye tunapendana sana, tatizo lililopo, huwa wakati wa kummega, tunaanza vizuri tu na huwa anakuwa anapokea kwa raha sana mwanzoni, lakini muda unavyoenda na kwa mujibu wake ni kwamba anapoanza kuhisi anafika kileleni tu, huwa stimu zinamkata na kuanza...
  17. ZIPOMPAPOMPA

    Dk john magufuli: Rais wa tanganyika mwaka 2015

    Zanzibar wanataka kiti UN na EAC. sasa sijui huo muungano daima utakuwa wapi............
Back
Top Bottom