Search results

  1. sheriff john brown

    Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Rais mbona analaumiwa kuwa hana msimamo? kwa kipi?, mbona watu hatuna subira? kwani Rais alishinikizwa kufungulia vyombo vya habari ama ni mapenzi na nia njema iliyosukumwa na utu wake?. Tangazo halina hata siku tano leo watu mnamjia juu rais eti anayumbishwa badala ya kumpongeza au nyie ndio...
  2. sheriff john brown

    Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

    Kuna jambo huwa linanipasua kichwa sana kuhusu thamani ya bidhaa au mali haramu. Yaani unakuta bidhaa haiuzwi kihalali mfano dawa za kulevya au nyara kama meno ya tembo, lakina unakuta jeshi la polisi wanatutangazia kuwa tumekamata pembo za ndovu au dawa ya kulevya yenye thamani ya milioni500 au...
  3. sheriff john brown

    Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

    pkovoojj lol l jpu l sj0polk gokjl I'llk lllljpkl okllk pplkkkl Ilpll hilko lipllk Ikkk'll klkll 9oplollllllllllllljklklolo lol khkkkkll lplmlullkkplkllplj k jj lpkhjjjjgpjklklu lookdjokb jkllloljl I'lllhl know k kkl llkpppllllpplllppkl
  4. sheriff john brown

    Kagera Sugar: Hatuitambui ratiba ya pili wadai TFF inaipendelea Simba SC

    Kweli kabisa, lazima tupewe heshima yetu. Unampelekaje bingwa wa nchin, bingwa mtetezi wa kombe lenyewe la azam na kinara makundi african champions club? migombani? kuweni na adabu kwa mabingwa basi. ndio maana uingeraza bingwa wa epl anapigiwa makofi na timu pinzani katika mechi ya ufunguzi...
  5. sheriff john brown

    Spika Ndugai: Mikopo elimu ya juu imegeuka biashara

    Huyu spika sio bure inawezekana anataka kurudi kwa bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. maana anafunguka mambo muhimu mpaka nashangaa nini kimemmpata? sio kawaida kabisa kw Ndugai huyu tunae mjua kichwa kile eti leo kawa smart sana kichwa, au chadema ndio walikua baadhi ya ufahamu...
  6. sheriff john brown

    Msasani, eneo la kimkakati la kingono/ ufuska/zinaa

    Magunia siku hizi hakuna jambo, malaya kwa mandazi load wanapatikana sana sisi club hasa siku za weekend. na kuhusu wahaya ni buku tatu siku hizi, pia wazuri wamepungua sana, mi nikiwa na migundi nachukua baik yangu nakimbia fasta mwananyamala kule sasa ndio kuna malaya wakali.
  7. sheriff john brown

    Zijue aina za mitambo mikubwa zinazotumika kwenye shughuli mbalimbali za miradi ya ujenzi mkubwa

    Shukrani sana kwa elimu nzuri mkuu. tunaomba tuwekee na mtambo wa kutandaza rail, niliona sehemu yaan ni bonge la dude. mtambo unabebe mataruma, rail, kokoto kisha unalaza wenye ardhini, mafundi wanakuja kukazia nati tu.
  8. sheriff john brown

    Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Idd imenipiga chenga ya mwili leo, Jana usiku nilikuwa na sh10000 nikapiga safari2 4000 nikabaki na 6000 nikajua Leo idd nikigonga bia misafari mikubwa mitatu sio mbaya. Lakini asubuhi leo hii nagongewa chumba umeme umekata mchango 5000 nimetoa nikabaki na 1000 tu nimenunua mb 500 za jf. Kwa...
  9. sheriff john brown

    Hivi ni kwanini madikteta pamoja na mambo kadhaa mazuri wafanyayo hukumbukwa kwa maovu tu walotenda?

    Makonda labda awe rais wa familia yako Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sheriff john brown

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Kinyakyusa kuandika kigumu Sana jamani. nisaidie baadhi ya maneno niliyochemsha kuandika. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sheriff john brown

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Unaujua wimbo wa Mwandwanga? Kuna sehemu Katika mashairi yake anasema ( nanganile nnilumego mmasoko mlandani akata kali nhikisa nkipambaga ngimba ilema, fyobhene gwajobhaga mwanangu.) Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sheriff john brown

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Hapo wapi mkuu? Kuna kimoja kipo mto mbaka mpata. Na kingine kipo mto mbaka pia sehemu inaitwa kibhundugulu karibu na Kijiji Cha london Kama unaelekea mbambo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. sheriff john brown

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Naona upo kwenye kiteputepu[emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. sheriff john brown

    Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

    Mbeya hapa forest nimesoma Mapambano pr school miaka ya 90, tulivamiwa na majini shule ikafungwa kwa muda. Mi nikarudi home masoko tukuyu, nikarejea tena mwaka 91 baada ya hali kutulia. Huu msitu wa forest ulitenganishwa na barabara tu na shule yetu. Tumecheza Sana kamali forest wakati wa...
  15. sheriff john brown

    Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye 'Umbile Dogo'

    Samahani mrembo, una miaka zaidi ya 25? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. sheriff john brown

    China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

    Mhn Sent using Jamii Forums mobile app
  17. sheriff john brown

    Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

    Jaribu kwenda pale TBC FM sema nimemua rais John pombe Magufili, baada ya hapo nenda Wasafi media kaseme naumba radhi kwa kauli yangu ilikuwa ni utani kwa kuwa Magufuli yuko hai. Ukitoka salama njoo unikate kichwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. sheriff john brown

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Jamani Kama kuna watu washateseka kwa mafua basi mi nilichungulia kifo. Ilikuwa mwaka 2000. nilienda kwa jamaa yangu maeneo ya namanga makangira, jamaa alikuwa na gym za uswahilini mix zege. Sasa na mimi nikauna nikapashe kidogo kujiweka fiti. Kweli nikapasha vema baada ya muda jamaa akaenda...
  19. sheriff john brown

    Jinsi taasisi zinavyopaniki zinapoanikwa hapa JamiiForums

    We mbona mzuri Sana hivyo? Umejiumba mwenyewe? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom