Search results

  1. jmi

    Julias Mtatiro: CCM inashinda chaguzi kwa kutumia mifumo ilele; rushwa, mabavu, hila, wawakilishi

    Huyu Mtatiro atakuwa ni mkurya kweli au ni jina tu!! Wakurya ninaowafahamu mimi ni wasema ukweli sasa huyu wa visingizio vingi mimi sidhani kama ana asili halisi ya kabila la wakurya. 1. Kubali kwamba vurugu mliyonayo ndani ya cuf ni sababu ya kushindwa ktk uchaguzi 2. Kubali kwamba Lowasa ni...
  2. jmi

    Salamu hizi kutoka CCM ni ishara mbaya sana kwa siasa za upinzani Tanzania

    Na hii dhana yenu ya kwamba kijana ni lazima awe mpinzani ni dhana mfu. Na mmekuwa mkiitumia hiyo dhana kama sera. Hii inawapoteza sana. Lakini pia inatakiwa vyama vya upinzani mji- reform hasa kuhusu swala zima la fujo. Kwani mmekuwa ni watu wa fujo na kauli chafu. Kwa watz hatujazoea desturi...
  3. jmi

    Acheni chaguzi ndogo zije ili waone kama sera ya kutumbua majipu inalipa

    Wakigundua sifa ya mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na usalama cheo ambacho amekuwa nacho mr Lowasa hadi anaacha ubunge wataelewa kuwa mr Lowasa is an asset or Liability
  4. jmi

    Acheni chaguzi ndogo zije ili waone kama sera ya kutumbua majipu inalipa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi mkuu matokeo yametoka umeyasikia?
  5. jmi

    Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

    Kwa hiyo mbowe hatakiwi kulipa kodi! Wafichue wana ccm wasiyolipa kodi awamu hii ni ya tofauti sana watashughulikiwa kama anavyoshughulikiwa mbowe
  6. jmi

    Serikali na unyanyasaji kwa Mbowe

    Taja na wengine wasiyolipa mkuu bila kujali itikadi zao. Lakini pia kuwa mzarendo wa nchi yako kwa kusema kuwa kiongozi inatakiwa awe ni mfano wa kuigwa. Kiongozi Kama halipi kodi je atakusanya kodi??
  7. jmi

    Maajabu ya mwanaume niliyenae

    Sure bloo Ukimkipiga front tu kwa ustaarabu bado atalalamika kwamba unakula upande m1 wa samaki
  8. jmi

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    Ugome!!! Harafu ule nini
  9. jmi

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Kwani ndiyo mara ya kwanza kusikia mitandao ya cm wakitoa ushahidi mahakamani? Au kwa sbb kesi inamhusu mrs Lema hawatakiwi kutoa ushahidi?
  10. jmi

    Natafuta mke mwenye vigezo hivi

    Kwani unafanya kazi YANAPA mkuu!! Nina maana unaishi porini huna majirani wanaokuzunguka ili uchague m1 anaekufaa tena kwa uchunguzi wa tabia yake kupitia majirani wema?
  11. jmi

    Lowassa na wabunge wa kanda ya ziwa wafunika Kahama

    Ndani ya sanduki la kura inakuwa kinyume
  12. jmi

    RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Kwa hiyo watumiaji qa Vodacom wapo Arusha tu?
  13. jmi

    Jaji Mutungi: Namtambua Profesa Lipumba

    Sema wewe uko na maalim seif siyo utujumlishe wote
  14. jmi

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Na mimi kwetu masurura
  15. jmi

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kweli wewe ni bonge la tapeli mamamamamamae. Nimekupa number yangu ambayo ipo on unasema haipatikani. Acha janja janja ya kuwaibia watanzania
  16. jmi

    CCM hili la wanafamilia kujazana bungeni/NEC tungewaachia UKAWA!

    Unasahau tu mkuu Tundu Lisu alikuwa na mdogo wake ambae kwa sasa ni marehemu kwa kipindi chote cha bunge la 2010-2015 nae Mbowe na mkewe walikuwa ni wabunge katika bunge hilohiho. Wao wana uhalali? Watanzania ni walewale vyama ni njia tu
  17. jmi

    Maana ya katerero, na mto ngono

    Ok asante kwa tafasili nzuri. Na ndiyo maana kwa ile staili yenu mnapiga hadi machozi yanatoka kwa mtindo wa kuruka
  18. jmi

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Mpigie saa12 asubuhi. Sasa hv anatokwa udenda cm amefunga. Lakini jalibu na hii pia 0673234566. Utaongea nae au mjomba wake
  19. jmi

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wewe utakuwa ni msaliti wa viwanda vyetu vya sigara na bia.
Back
Top Bottom