Search results

  1. I

    January Makamba na Henry Shekiffu walinikimbia kwenye mahafali!

    huyu jamaa sijamwelewa anasema alikua mpinzani wa January na shekifu ina maana alisimama kuwania uongozi majimbo mawili!? coz january ni mbunge wa bumbuli na shekifu ni mbunge wa lushoto,, isitoshe january alipita bila kipingamizi(upinzani) jimboni kwake,, sasa cjui huyu jamaa ni wa sayari gani
  2. I

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    babako ndo aandikwe coz naona hutaki wake awepo kwenye historia,,ila mi naona both babako na babake wawepo kwasababu ure dad alikua supporter mzuri wa kusema kidumu na zidumu fikra za baba wa taifa, eti hadithi za alf ulela! na wewe tunga yako tuone kama itakua na mashiko
  3. I

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    kanawe miguu ulale hoja yako nyepesi sana au izo post za juu hujaziangalia,, kwanza uko form ngapi?
  4. I

    Mabomu na Risasi za moto zarindima Kinondoni Moroko Dar usiku huu!

    mbona mada yako nyingine mzee,, inaelekea machafuko unayatamani sana eeh?
  5. I

    Kwa taarifa hii ya Ikulu, JK ataenda kuwaambia nini wananchi wa Lindi na Mtwara?

    surely mi Cjaona shida iko wapi ikiwa mtwara na lindi wapo kwenye mpango,, I thought wananyimwa kabisa
  6. I

    walimu sasa wameua nchi.

    kila kitu mnalaumu serikali :mad: kuna watz kibao hawana ajira serikali inalishughulikia hilo,, bado miundombinu, maji, umeme n.k. wewe umepewa ajira unagoma bado serikali ilaumiwe kwa ww kutokufanya majukumu yako!? tatizo waalimu mnajiingiza kwenye siasa, mlishajibiwa mishahara yenu kuongezwa...
  7. I

    walimu sasa wameua nchi.

    kwani ww ni mwalimu mwenye level gani!? utakuta grade A au diploma halafu unataka mshahara mnono kama wengine akati ULIFELI. haya endelea kugoma ili tupate taifa lenye failures kama wewe halafu tuone kizazi chako kitafundishwa na nani
  8. I

    walimu sasa wameua nchi.

    utafiti wa kufeli unaanzia dar coz dar ndo mkoa waliofeli zaidi halafu mikoa mengine itafata,, tatizo waalimu wengi wa cku izi ni failures!!! sio madai yao yatimizwe tu kwanza waliopo wapewe test kama wakifeli hakuna ajira halafu wanaofuata waekewe limit ya marks reasonable sio izo division four...
  9. I

    Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

    kusimamisha shughuli za kiuchumi ukisifia,, popompo
  10. I

    Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

    nini sasa au kueka colours kunakuchanganya,kuwa straight hii sio forum ya love au arts :mad:
  11. I

    Picha: Aina ya salamu mpya Tanzania

    hao itakua wanafanya kazi bandarini (TPA)
  12. I

    Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

    hujakunywa maji ya bendera tu + mkojo wa silaha,, pumba tupu
  13. I

    Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

    :gossip: hahahahah,, nimeipenda iyo! oops jamaa wamesikia!!!
  14. I

    Huu ni usafiri mpya wa viongozi wa CCM?

    kuanzia ufundishwe kueka colour imekua taabu!? sasa unataka tukufundishe na lugha!? surely hujui maana ya mwendo mdundo? ila mbowe knows kwasababu nishawahi msikia akilitumia, au ulifkiri ni ilani ya cdm?
  15. I

    Watanzania hatumjali MUNGU! tutahukumiwa kwa hili!

    unakaa kijiweni then unataka uletewe maendeleo!? kaza mwili mzima kijana
  16. I

    Watanzania hatumjali MUNGU! tutahukumiwa kwa hili!

    sasa ulitaka serikali ianzishe caterings ili hao waliopo pembezoni mwa barabara wapewe chakula ndo uite ni maendeleo,, acha kuwa na akili mgando hatua tuliopiga iko wazi
  17. I

    For JamiiForums Mobile users

    :gossip: duh,, nimeweza!!
  18. I

    RIP Symbian. Now it is officially dead !

    duh,, kweli hapa inafaa kutulia, ,ila mi naingoja atakaeshinda nikanunue simu aliopromote
Back
Top Bottom