Search results

  1. christnetwork

    Mention 1 thing you can't live without

    me, I can't without Jesus. [emoji5]
  2. christnetwork

    Itabidi ahamie na Bashite wake Dodoma makao makuu!!.

    [emoji102] [emoji102]
  3. christnetwork

    Mama mkwe anataka nimuuzie samani za ndani

    ushauri wa mkeo ni mzuri Hata ningekuwa mimi ningekushauri hivyo. mwambie mama mkwe kuwa vitu vilishwa wekewa booking kabla yake.
  4. christnetwork

    What do intelligent guys look for in a girl?

    only men can ans it, you tell us wat do u really look in girl. every man has his own choice and own altitude
  5. christnetwork

    Dalili za mwanamke aliyefika kileleni na anayedanganya amefika kileleni

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. christnetwork

    Jina la shuleni na analotumia ni tofauti, kwenye viza atumie lipi?

    Sina uwakika ila Nilisikia kuwa unaweza kukana na kubadili Jina kisheria. atafute mwana sheria yoyote atamshauri zaidi
  7. christnetwork

    Najuta kwakweli najuta, nimegundua ana ugonjwa wa Ini

    Kama ulikuwa Unajua ulitaka ushauri wa nini. kama alikwambia Kwanini uliforce? mapenzi ni kajitoa. mwanzo iliyaona matam Sasa hivi ndo unasema unajuta. wakati unamcourt mbona ukuomba ushauri baada ya kukuambia yuko affected.
  8. christnetwork

    Najuta kwakweli najuta, nimegundua ana ugonjwa wa Ini

    akili Zako ziko sawa kweli, ingawa sijasoma sana ila siwahi kusikia kuwa ugonjwa wa ini unaambukizwa kwa njia ya romance. jiweke kwa nafasi yake, ingekuwa wew alafu mpenzi wako uliye mpenda anakufanyia hivyo unge jisikiaje. ujajua kupenda Bali ulazimisha kupenda. nakuombea utakapo mtenda...
  9. christnetwork

    Swali kwa wanaume: Mnapenda mama wa nyumbani au mwanamke anayefanya kazi?

    ingawa kwa Sasa wanaume wengi wamesahau wajibu wao kama mme ndani ya ndoa, unakuta mwanamke ndo kila kitu nyumbani. Sasa sijajua kwa upande huu inakuwaje, kama mama anaamka asubuhi kubangaiza alafu Baba anauchapa usingizi anasubilia kuitwa kula tu na Kisha kuzulula bila kutoa mchango wowote.
  10. christnetwork

    Swali kwa wanaume: Mnapenda mama wa nyumbani au mwanamke anayefanya kazi?

    domestic job is for woman tambua Hilo. ingawa mwanaume aweza kusaidia kama ishara ya Upendo na kujali. mwanamke ni msaidizi kwa mumewe, kwahiyo wew kufanya kazi ni moja ya msaada kwa mumeo kuboost financially ili kukamilisha majukumu yake kama kiongozi wa family.
  11. christnetwork

    Wasichana mnavutiwa na nini hasa kwa wanaume?

    kujali, Upendo WA dhati, kusikilizwa na kuheshimiwa bila kujari mapungufu aliyo nayo. kwa appearance ya nje. mwanaume anae jitambua (intelligent, reasonable, respectable and smart.)
  12. christnetwork

    Kwa niliyoyaona wodi ya wazazi, simtii mimba tena mke wangu

    Mbona njia ya kufunga kizazi kwa mwanaume Ipo, nenda kwa Hospital utaambiwa njia mbali mbali. pia vizuri kwa kulitambua Hilo maumivu gani wanamke hupitia wakati WA delivery. ila mtoto ana raha yake ndo maana wanavumilia misukosuko yote.
  13. christnetwork

    Kumbe wanawake wanapenda kudanganywa

    si wote, ukweli umuweka mtu huru kutoa maamuzi sahihi
  14. christnetwork

    Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

    Mimi nadhani, endapo tukimrejea mungu na kuheshi mafunzo tunayo yapata katika vitabu vya mungu lazima ushoga utaisha hofu ya mungu ni kinga pekee inayo weza kutusaidia na kutuhepusha na hayo yote. pia wazazi na walezi tuwe Karibu sana na wanetu. mpelekeni kwa Hospital mtapewa ushauri zaidi.
  15. christnetwork

    Mwanamke mtu mzima hutambulika kwa kiganja chake

    Je mwanaume mzima utambuliwa kwa?
  16. christnetwork

    Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

    kwa uwelewa wangu nilio nao, hili tatizo husababishwa na mambo mbali mbali ila nitasema machache inawezekana mpenzi uliye nae huna hisia nae, inawezekana unaigiza kumpenda ila kiuwalisia hupendi. kula vizuri siyo sababu, inategemea na Aina gani ya vyakula unavyo kula, Kuna baadhi ya vyakula...
  17. christnetwork

    Wanaume kwanini huwa hamuamini pindi binti anavyokwambia hisia zake?

    not really, kwa vile ninavyo jua na kwa research yangu
  18. christnetwork

    Wanaume kwanini huwa hamuamini pindi binti anavyokwambia hisia zake?

    Siwezi sema idadi ila nachoweza sema 80% hivyo ndivyo walivyo
  19. christnetwork

    Wanaume kwanini huwa hamuamini pindi binti anavyokwambia hisia zake?

    Habari yenu members, Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali kwanini wanaume walio wengi huwa hamtaki kuambiwa ukweli au kukataliwa pale binti anapokwambia hakutaki. Ni kwamba mnakuwa mmejizatiti kuwa hawezi kuambiwa no au la mwingine atakwambia hebu jifikirie kidogo, mpaka kukupa jipu anakuwa...
  20. christnetwork

    Sijawahi kuambiwa nakupenda na mwenza wangu

    Kwani Kuna haja gani mtu kukuambia anakuopenda wakati matendo hayaoneshi hivyo. bora asiseme ila matendo yake yawe yanahashiria Upendo kama kajitoa kwako basi anakupenda. baadhi ya wanawake huwa wako hivyo, neno nakupenda linawezekana likawa gum kusema ila akawa anakupenda. ila ni vizuri...
Back
Top Bottom