Search results

  1. Mondoros

    Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais Magufuli

    Haya yanafanywa na Mafia wa UPINZANI. Soon watatiwa mikononi mwa vyombo VYA dola
  2. Mondoros

    Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais Magufuli

    Nawashauri watanzania wote kumuunga mkono Rais JPM. Ni kiongozi bora sana! Tuskubali kuchonganishwa na Serikali kwani sio desturi yetu. Ole Mondoros
  3. Mondoros

    Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

    Hizi Account zingine ni za kimkakati. Embu msifanye wapiga kura wakaamua kupiga kura za hasira na Mabwana wenu mnaowanadi kwa hoja za kikabila na ukanda wakapata kura 0. Tutaangalia uwezo wa MTU na sio kwamba ni KABILA gani na ANATOKEA mkoa/kanda gani. #TanzaniaMpya
  4. Mondoros

    Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

    Kisiasa unampunguzia na kumpotezea Mwaipaja nafasi ya Ushindi kwa aina ya hoja ulizotoa na jinsi ulivyozijenga. Hivyo yumkini wewe ni team campaign wake na hivyo kushambulia wagombea wanaoonekana "threat" kwenu. #SiasaZaKisayansi
  5. Mondoros

    Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

    KESHO ASUBUHI NITAWASILISHA KWA FUPI WASIFU MDOGO WA KILA MMOJA NA KUTAMATISHA KWA KUAINISHA NI NANI KATI YAO ANAFAA KUPEWA KURA ZA USHINDI..
  6. Mondoros

    Nani anafaa kupata kiti cha uenyekiti UVCCM?

    Nani anafaa kupata kiti cha uwenyekiti uvccm? 1. Juma Seif Mtoro 2. Juma Boaz Mwaipaja 3. Simon Mathias Kipala 4. Kheri Denice James 5. Mganwa Shaban Nzota 6. Thobias Mwesiga Richard 7. Kamana Juma Simba Toa maoni yako hapa.... Uchambuzi wangu nitauleta kesho asubuhi na juu ya nani anafaa...
  7. Mondoros

    Chalinze, Pwani; Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atembelea kiwanda cha vigae cha Twyford

    PMO PHOTOS- MAJALIWA ATEMBELEA KWANDA CHA VIGAE CHA TWYFORD CHA CHALINZI MKOANI PWANI
  8. Mondoros

    Arusha imetakata na CCM

    ARUSHA IMETAKATA NA CCM Arusha imekuwa moja ya mikoa Tanzania,iliyoweka rekodi njema ya utendaji wa viongozi wa chama na serikali. Mh Gambo amewekeza na amejikita katika kuwatumikia watanzania Maskini hasa wakazi wa Arusha.Muda wa Kusikiliza nani Kusema hili,nani kasema lile,Muda huo hatuna...
  9. Mondoros

    K/Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka azidi kurindima Mkoani Kigoma

    wewe shaka ni mpambanaji wa kweli. safi sana rais wa zanzibara mwaka 2035
  10. Mondoros

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Haikutegemewa kwa Mwenyekiti wa Chadema Freman Mbowe akubali kirahisi kumkaribisha Waziri Mkuu ailiyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Edward Lowassa ndani ya chama hicho kisha awe kinara wa kumpigia debe agombea urais mwaka 2015. Duru za kisiasa zinaelelezea na kutaja bayana kuwa bila shaka yoyote...
  11. Mondoros

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    Jumatano tarehe 06: Kamati inasoma ripoti za Almasi na Tanzanite katika Viwanja vya Bunge Dodoma. Anakabidhiwa Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anasema, " kesho SAA NNE asubuhi nitaikabidhi hii ripoti Kwa Mhe Rais Ikulu Dar es salaam" Kwa tafsiri hiyo ina maana safari ya kwenda Dar ilianza Siku hiyo...
  12. Mondoros

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Wakati Lissu anapelekwa Nairobi walitajwa watu wanne tu ndio waliopanda ndege iliyokuwa imembeba Mgonjwa. Alipanda Mbowe, akapanda Mke wa Lisu na akapanda mchungaji msigwa na Mwisho alikuwepo Dr Toka timu iliyomhudumia mwanzo pale Dodoma Hospital. Wakati kamanda wa polisi anatoa maeelezo kwa...
  13. Mondoros

    UVCCM wawakanya BAVICHA nakuwataka waache kiherehere cha kuingilia taratibu za kiutawala na upelekezi

    TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA VYOMBO VYA HABARI ILIYOTOLEWA NA KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM SHAKA HAMDU SHAKA (MNEC) UPANGA DAR ES SAALAM SEPTEMBA, 10 2017 UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM Ndugu Waandishi wa Habari Septemba 9 Mwaka huu Baraza la Vijana Chadema(BAVICHA)...
  14. Mondoros

    Shaka Hamdu Shaka unaponzwa na ujasiri wako

    Unakazwa tu wewe mwehu. leta ushahidi kama kweli hukanyagwi..
  15. Mondoros

    Shaka Hamdu Shaka unaponzwa na ujasiri wako

    Mimi si mwandishi mzuri na sina utaalam katika kuandika vema mbele ya waandishi mahiri na magalacha wa habari wanaoandika na maandiko yao na kusomeka na watu wengi yakabaki akili mwa watu kwa miaka na miaka. Hata hivyo nawaomba radhi.L nanataka nijaribu kuandika kitu ninachokipa kichwa cha...
  16. Mondoros

    Polepole unampoteza Zenda

    NDIO YEYE HUYO.
  17. Mondoros

    Polepole unampoteza Zenda

    NIMUHIMU SANA KWA CHAMA NA JUMUIYA KUMCHUKULIA ZENDA HATUA ZA KINIDHAMU, MPAKA HAPO AMEKOSA MAADILI NA ANAPASWA KUSHUGHULIKIWA.
  18. Mondoros

    Ni kweli hatujui Rais Magufuli anapoipeleka Tanzania?

    Unakuta kabisa Mtu anatanua kifua, anafungua mdomo na kusema Rais Magufuli anapotupeleka sipo. Eti Nchi inarudi, nchi inaangamia. Haya ni machache tu ya kuwaumbua na kuwaelezea mafanikio ya Rais Magufuli mpaka sasa. 1. JPM amerejesha nidhamu ya fedha habari za kutumia fedha kuleta ubabe hakuna...
  19. Mondoros

    Polepole unampoteza Zenda

    anaitwa AMANI NKURLU
  20. Mondoros

    Polepole unampoteza Zenda

    Kwa muda mrefu sasa zenda amekua akisadikiwa kuisema vibaya uvccm kwa polepole na baadhi ya maofisa wa ccm Lumumba. Sababu ya kufanya hivyo iko wazi; (1) shirikisho kuondolewa na kuwekwa chini ya uvccm kama idara (2) kutopewa cheo kikubwa (unaibu katibu Mkuu au ukatibu mkuu) (3) kupenda kufanya...
Back
Top Bottom