Search results

  1. N

    Serikali kuu 3: Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Muungano Tanzania?

    Mkuu, wewe umepiga mulemule penyewe; Wazanzibari hao uliowasema ndio ambao hawautaki muungano, na sababu kubwa ni za kidini tu, ingawa wengi hawasemi wazi lakini huo ndio ukweli. Nchi hii bado haijampata mtu jasiri kama Nyerere wa kulisema hili kwa uwazi, wengi wanalizungumza ku-"save" tu face...
  2. N

    Alichonifanyia mdogo wangu naumia

    Kama sio kweli hufanyi hayo yanayomkera mumeo muulize huyo mdogo wako maana yawezekana mumeo anaweweseka tu, lakini kama ni kweli unarusha roho na wateja wako, basi jirekebishe, acha kulaumu watu!
  3. N

    Watanzania tusiwe kama nyumbu kwa CHADEMA

    Kaandika utafikiri muungwana, kumbe pimbi tu mwenye njaa na pesa za mafisadi! Hizi buku saba saba za mtaa wa Lumumba zitawafanya mapimbi sana! Nyumbu mwenyewe!
  4. N

    => Kama SEX ni RAHISI HIVI KUPATA...hakuna haja ya KUOA...wallaah..!!!!!

    Mr. President, sijui wa tz au US; hilo pepo yakhe!
  5. N

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    mbona ulishaitaja? Rudi kwenye mchango wako wa kwanza hapo juu! Tutajie pia wodi namba, maana akina dada/mama waliolazwa hapo ni wengi!
  6. N

    Warioba Anamdhalilisha Nyerere!

    Hivi kumbe hata azimio la arusha nalo lilikuwa ni kero kwako? Haya basi, muungano nao ni kero ya mwisho kwako; serikali 3 ni ubinafsi tu uliokomaa, kama bado tunautaka muungano ni bora tume ingelijikita kuhoji wananchi ni kwa nini sasa tusiende kwenye serikali moja. Ujinga wa sasa wa serikali...
  7. N

    Naomba kadi ya ccm wadau

    Pambafu, toka lini ugamba ukatafutwa kwa shida namna hiyo?
  8. N

    Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

    Mwekundu, huo sio ugonjwa ni matamanio ya kawaida tu na hasa katika umri mdogo ambapo kupata wa kutuliza naye nafsi mara nyingi ni mtihani. Jitahidi kui control tu hiyo hali, na kama muda umefika, basi pata wako ambaye mchana kutwa na usiku kucha atashinda kaanika chupi hizi geto kwenu, mwisho...
  9. N

    CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

    Kapigeni kazi, Taifa linahitaji wa kulipigania dhidi ya mafisadi.
  10. N

    Sijawahi kutoa mwanamke out

    Ubahiri unakusumbua mkuu, mbona wanaozitafuta hizo out wako kibao tu? Chagua mmoja na ukafurahie out yako, hata changudoa wewe beba tu!
  11. N

    Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

    Hiyo ndio aina ya mapenzi yenu, endeleeni kuifuata nyota ya kijani! Nafikiri anasubiri muda muafaka, huenda anao wengine wa kuchezea, wewe anakuandaa kuwa mwandani wake; acha ukicheche wako ili ujipatie mume huyo!
  12. N

    Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

    Kuna jamaa mmoja aliwahi kuwapa mpaka chabo washikaji wake akifikiri ni demu wa kupita tu, du lakini leo hii demu huyo ndio mke wake kipenzi, mama ya watoto wake! Utu wema na uungwana ndio silaha bora maishani!
  13. N

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Mkono hatari sana kama jina lake; huyu ni mzee wa kusogeza tu kama ilivyo sifa ya jina lake!
  14. N

    Kutendwa

    Acha mimi nisikilize muziki uliowekwa hapa na BAK!
  15. N

    Heaven on desert nimenasa kwa binti msomi(masters)

    Kwani huna marafiki mpaka ukimbilie humu? Hizi liwaya za kutunga nazo ni aibu na taabu tupu!
  16. N

    Kuna msemo wa 'Kosa moja halimfukuzi mke' Vs kutimuliwa kwa Zitto na Wenzake.Je, ni sawa?

    Aweda, hoja yako ina mashiko sana; nina wasiwasi na usalama wa vichwa vya baadhi ya wachangiaji humu! Mke aliyekuwekea sumu ili ufe tayari ni mwendawazimu; hupaswi kumuacha tu bali na kumkabidhi kabisa kwenye vyombo rasmi ya kushughulika na huo uendawazimu wake. Zitto apewe nafasi ya kuijenga...
  17. N

    Madam SPIKA: Ningekuwa na uwezo ningependekeza Mwingine afe badala ya Mh. Mgimwa

    Huyu mama huwa hajui anachokisema, huenda na hiyo ndiyo sababu mambo mengi huyaamua kama mwehu!
  18. N

    KUB Freeman Mbowe Vs NS Job Ndugai: Kushindwa kwa Uongo baada ya Kweli kufahamika!

    Kigwangallah bana, kila akijaribu kutoka anakutana na nyundo nzito; hawa wabunge wanaopata ubunge kwa kubahatisha ni taabu sana.
  19. N

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani ni ushindi kwa CCM au CHADEMA?

    Matokeo ya uchaguzi wa madiwani katika kata 29 zilizofanya chaguzi ndogo hivi karibuni yanaonekana kukosa mjadala mpana kutoka kwa wadau wa siasa hapa nchini, lakini mimi naona kama yana haja ya kujadiliwa ili kuona mstakabali wa siasa hapa nchini unaendaje na hasa katika kipindi hiki ambacho...
Back
Top Bottom