Search results

  1. kmbise

    TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    I am deeply saddened by his death. May God of Israel mame his family strong at the moment. May his sour rest in eternal peace.
  2. kmbise

    Sababu kwanini kiapo cha ndoa za kikristo ni haramu katika ulimwengu wa roho

    Mtoa mada ana point ya msingi sana! Kwa nini tukiri uwepo wa nyakati za shida? Mungu tuondolee shida katika ndoa zetu kwa jina la Yesu! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kmbise

    Prof. Kitila: Demokrasia ya Kenya sio tunda la hisani au roho nzuri ya Rais aliyepo madarakani

    Sidhani kama anaishi anachokihubiri! Hope he will later realize he lived someone else's life. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kmbise

    Nitapata wapi chapisho la kitaaluma la Dkt. Joseph Pombe Magufuli

    Lipo chuo UDSM library aka jumba la vilaza. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kmbise

    Waliosoma Tosamaganga High School

    Naipenda Tosa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kmbise

    Hatua za kuanza kujifunza Computer Programming.

    Ulichokiandika ni sahihi. Kama unataka kujifunza programming languages zaidi ya moja ni vyema beginner akanza na C. Hii ndiyo language ambayo syntax yake inafanana na languages nyingi.
  7. kmbise

    Waliosoma Tosamaganga High School

    Tosa ni shule nzuri sana kama utakuwa umejitambua wakati unasoma. Juhudi zako ndizo zitakazokutoa, I was there in 2001-2003 PCM. I enjoyed a lot!
  8. kmbise

    Softwares za Programming

    The best programming source code editor is NetBeans IDE. Available here www.netbeans.org
  9. kmbise

    Leo ndio nimeambiwa ''nakupenda mme wangu" nilipotinga nyumbani na Bodaboda

    That is a step in life! Nafikiri huyo ni wife material haswaa, hukukosea kuoa! Mpende pia, maisha yako hivyo.
  10. kmbise

    Kwanini MD ya University Of Dar es Salaam imeachwa?

    UDSM haitokei degree ya MD. Labda ulinamaanisha MUHAS ambao wanatumia hospital ya Muhimbili. Kwa taarifa yako tu, hiki ndicho chuo kilichotoa watumishi wengi kwny sekta ya afya! She will never do that even if the government does not want the university to use the hospital.
  11. kmbise

    Usipotumbuliwa awamu hii hutumbuliwi tena, ni mwendo wa kufuta vyeti hakuna namna

    PMM - Physics, Advanced Mathematics and Pure Mathematics. Hii comb ilifutwa zamani sana.
  12. kmbise

    Nitapata wapi chapisho la kitaaluma la Dkt. Joseph Pombe Magufuli

    Ipo maktaba ya UDSM pale mlimani. Kama utaudhuria maonyesho ya TCU 20-22 July 2016 pale Diamond Jubilee unaweza kuiona. Hii thesis yake huwa inakuwa kwny hayo maonyesho kuonyesha moja ya thesis zao.
  13. kmbise

    Mbinu zipi za ziada za kupata utajiri kwa njia halali kabisa?

    1. Tafuta vyanzo mbalimbali vya mapato, hakuna mtu anayetoka kirahisi kwa kutumia chanzo kimoja 2. Usiogope mikopo 3. Ujifunze kubana matumizi - siri kubwa ya kutoka ni kubana matumizi 4. Mtangulize Mungu katika kila jambo
  14. kmbise

    Sekondari kongwe za umma kurejeshewa makali yake

    Itarudisha heshima ya shule za umma kama vilivyo vyuo vikuu vya umma. Inawezekana kama serikali na wizara zitachukua hatua hiyo kama waziri alivyosema. I will pat her back when she implements the plan!
  15. kmbise

    Mbinu za kutozungumza broken English

    ... and you teach us English! Have you proofread your comments? Je hapa niko sawa.
  16. kmbise

    Natafuta possible za NECTA

    Apige past paper za mwaka 1990 hadi 2015. Atatoka tu hapo.
  17. kmbise

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    There are things that everyone should understand in foreign languages. Native speakers can speak fluently while non-native cannot do that. Of course, our president's native language is neither Swahili nor English. The most important thing is, if you can convey a message to a recipient then...
  18. kmbise

    Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

    Nikiwa Tosamaganga 2001-2003 nilikutana na TO Lusekelo lakini baada ya hapo sijawahi kusikia alipo. Alinisaidia sana practical za Physics na Chemistry. Hawa wanafunzi bora wana vipaji vya taaluma na mara nyingi wanatakiwa wabaki kwny taaluma na tafiti. Nafikiri ndilo kusudi la Mungu juu yao.
  19. kmbise

    Chunga sana ulimi wako mwanandoa

    Kweli kabisa. Na pia wakati mtu amelewa unapata point!
  20. kmbise

    Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    It is a timely and great move!
Back
Top Bottom