Search results

  1. Michelle

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Chawa wanafugwa na kuelekezwa.Wao sio wajinga ni maskini tu na njaa zao,wanajua kupambana na anayepambana na taasisi ya Urais ni kujimaliza. Wanajipanga ila bado ngumu sana wao kujaribu.
  2. Michelle

    Watanzania wanahitaji siasa za Watu kama Makonda, CCM inajua hilo

    Asante sana kwa somo zuri. Ni wakati wa utekelezaji sasa.
  3. Michelle

    Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Na yeye ameamini wale ni kama Abdul kumbe wenyewe akili zao kwenye matumbo yao na vyeo na wakipata anayeshibisha tumbo zaidi hao hao chawa wanajigeuza kuwa maadui wa Rais. Asimamie yaliyo sahihi kupendwa atapendwa na watu sahihi.
  4. Michelle

    Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

    Hili nalo neno. Sijui kwanini nimewaza jambo ambalo sijui ni zuri au baya. Huyu aweza kuwa makamo hapo mbele.
  5. Michelle

    Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Yoda umemuelewa acha ukorofi. Kasema Mh. RAIS asimame imara, aondoe Mende wote korofi.
  6. Michelle

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Makonda yaonekana ana kazi ambayo job description yake ni tofauti na tuliyotarajia. Si jambo jipya ni kwamba tu kashindwa hata kuzuia tusijue hilo. Kazi sana.
  7. Michelle

    Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ha ha ha ha haaa. Hawaniwezi. Wamefeli kumsaidia na kusaidia taifa hili kwa kutumia upendo wao kwa Mama sasa acha tuwasaidie kumpenda kama Rais kwa manufaa ya wengi.
  8. Michelle

    Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama tawala Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Rais Pole kwa majukumu mengi sana. Nikupongeze kwa kujitahidi kuifanya kazi uliyoapa kuifanya kadri ya uwezo wako. Mheshimiwa Rais baada ya...
  9. Michelle

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Inatisha sasa. Kuna hofu anayo aliyemteua. Kuna vitu anamhitaji na anaamini Paul atamsaidia lakini historia inanifanya kuamini kuna vitu anahofia vitatokea akienda kinyume nae.
  10. Michelle

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Taasisi ya Urais matatani. Mama kama Mama na Mama kama Rais.
  11. Michelle

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Ha ha ha haaaaaa kwenye hilo tunakubaliana. Kama ndiye kamshauri hilo basi atosha na niseme kazi iendelee.
  12. Michelle

    Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Wanasiasa waanza kutumia Swaga za Magufuli mfano kuwa karibu na Wachuuzi na Vijiwe!

    John mjanja hadi unakeraaa. Tumekuelewa. Endelea kunywa maji ya nazi na kusaidia vijana wetu kupata walau mlo mmoja kwa siku.
  13. Michelle

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Mh. Rais atafute washauri. Aniite nimshauri bure kabisa. Hao waliomshauri avae hivyo akapite karibu na wauza madafu na picha ipigwe akipita tu bila lolote lingine hawamtakii mema. Hata watalii wanafanya zaidi.
  14. Michelle

    Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

    Kuwaelewa watanzania walio wengi ni ngumu na ugumu zaidi ni kuwa wanaamini wanaelewa kila kitu kilichotokea kuliko wahusika wenyewe na hivyo hata Mzee JK angesema nini bado wangeendelea kuamini wanachoamini.Sina baya na Mzee Lowassa ila alikuwa binadamu mwenye mapungufu yake na mazuri yake. Huu...
  15. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Jifunze kuandika. Hilo ni swali au sentensi? Unachoongea ni neno moja au mawili? Ukimaliza itakuwa mwakani rudi kuendelea na mazungumzo.
  16. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Unasema Chama halafu unamuongelea Makonda pekee. Makonda si Chama. Yaani wapambe mnakosa hekima ambayo yeye Makonda anayo. Yeye mwenyewe anasema Chama kimeelekeza hiyo ina maana hata uamuzi wa kumuondoa Bashe ikibidi utakuwa ni wa vikao na sio wa mtu. Makonda amewekwa hapo kupitia maamuzi ya...
  17. Michelle

    Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Aliyekuambia maamuzi kwenye chama yanafanywa na mtu mmoja ni nani?
Back
Top Bottom