sion ulicho andika atanisubir miaka mia hujikumshaur mtu jambo kwa mtu kama hata utukane vip najua tumetofautiana koo sijaomba kila mtu anisaport vizur unajibu kutokana na mawazo yako ongeza kutukana napokea chochote
kwa sasa nitapunguza hsira yeye hataki nifanye uamuz wowote anadai hajaona mapungufu sasa mim kinacho niumiza mimi sipendi nimkwaze yeye kwanin anikwaze?au mwenzangu anaroho ya nyama mim ninayachuma asichokipenda lazima nimsikilize.au alijua sir sintokaa nijue
vampire hakuna sijawona ningewaambia nilipo ndugu yangu ndo mme wangu nimaisha ya utafutaji nakumbana na haya hata anaejua nipo humu amuna zaid ya mume wangu nahajui kama naandika haya humu hakuna anaenjua mim nani
unamaanisha mim ndo nilimtongoza au umepungukiwa na mawazo we ndo ukute unaishi kwa kusukuma siku hayo sio maisha lazima ukiwa hai namzima uyatambue maisha yako usukumwe tuu jitambue ili muheshimiane sio kuburuzana hayo sio masha jichunguze alafu amka na mabadiko ili badae uyaone matunda
Kiukweli nimetokea kumchukia mume wangu hali akirudi napatwa na ugonjwa wa mawazo, imetokea hata sifa zakua na mimi tena sizioni. Mimi ni mwamifu mwenzagu malaya,napenda kuwa mtu wadini mwezangu haijulikani dini yake,napenda kujituma kwa ajili ya maedeleo yetu.
Mwenzagu akipiga stori za umbea...
mim miaka mitatu na mali nyigi tumechuma wote na sizifikirii nataka nakapambane kutafuta mim peke yangu mpaka nihakikishe nimempiga chin wakwti wakusaliana umepitwa na wakat piga kaz kiume heshima iwepo
chadema sasa ni mti unaokua nakuchanua ila ccm unapurukutisha majani haijulikan kama utakufa kabisa au utachipua mii naona wabadilishe jinala chama wajipange upya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.