Search results

  1. Hatakama

    Madame B niko online, niulize swali lolote kunihusu mimi, iwe ni Mapenzi, Mahusiano na mengineyo

    Inaweza ikawa bebi/bitch/bibi/best/Beti au herufi ya kwanza LA jina lake
  2. Hatakama

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ningemuuliza trafik light zinafanya nini chato?
  3. Hatakama

    Kutoka Kanisa Ufufuo na Uzima: Gwajima awazungumzia Diamond, Halima Mdee kumtusi Spika na Utekaji

    Kwa kipengele kipi cha sheria inayokataza? Lmao kweli wewe! Hawashtaki kwa mihemko, wanashtaki kwa mujibu wa vifungu vya sheria
  4. Hatakama

    Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

    Hakuna mweusi? Ht magufuli? Hapana aisee [emoji23]
  5. Hatakama

    Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Na wewe uwe unasomaga vizuri kabla hujajibu, swali la msingi hapo ni legality ya amri ya kunyang'anywa passport, haihusiani na AMA kalipwa yote au hajalipwa. Je ni halali kuamrisha passport yake ichukuliwe?
  6. Hatakama

    JKIA has achieved Category One status that allows for direct flights to USA

    Hongereni watani, genuinely happy for you
  7. Hatakama

    Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Kwa kauli anayotoa mbunge akiwa bungeni hawezi kukamatwa wala kushtakiwa
  8. Hatakama

    Kama baadhi ya hawa Pan-Africanists wangejua, ramani ya Afrika ingeonekana hivi

    It's ironic how thoughts can at times be similar, I once thought that way wakati nipo high level/form five na six
  9. Hatakama

    ECOWAS wameonyesha njia

    Amani ipi au amani wapi ndugu? Congo au South Sudan au Burundi au Rwanda au Uganda?
  10. Hatakama

    Jenista Mhagama: Wizara zote zatakiwa Dodoma kabla ya Feb. 28

    Sasa kwanini tusipende, dar ni yetu tulishinda majimbo yote kasoro yaliyoibwa. CCM mlishinda majimbo mengi DODOMA, nendeni kwenu cc pia tubaki kwetu. Ila 2020 hata huko tutapachukua pia, sijui mtahamia chato!
  11. Hatakama

    Jenista Mhagama: Wizara zote zatakiwa Dodoma kabla ya Feb. 28

    Siwezi kuwapeleka watoto na wategemezi wangu kijijini huku mm nimebaki dar na kusema kua nimehamia kijijini! Naanza mimi, naenda kijijini then nawaamuru watoto wanifate nilipo. Full stop. Zaidi ya hapo ni politics
  12. Hatakama

    Je Mwanadamu atafufuliwa akiwa na Umri Gani?

    John the Baptist and John the beloved/the disciple are two different people, wanasema "better to stay quite and let people doubt whether you are stupid or not than to speak up and remove all the doubts "
  13. Hatakama

    Je Mwanadamu atafufuliwa akiwa na Umri Gani?

    I don't know where you are, but it would be absurd for me to presume that you are not alive simply because I don't know where you are!
  14. Hatakama

    Je Mwanadamu atafufuliwa akiwa na Umri Gani?

    Read the Bible with still mind and clear consciousness, then the spirit will touch your understanding and you will know that John the disciple has never really tested death!
  15. Hatakama

    Lowassa na Rais mpya wa Ghana, ni ugonjwa wetu Waafrika?

    Punguza chuki dhidi ya mpendwa wetu lowasa, wewe umeona hilo tu, everybody quotes somebody, sema tu wengine hawatoi credit kwa waliowanukuu
  16. Hatakama

    FISIEM WABAYA SANA

    Mungu ampe maisha marefu Kama au hata zaidi ya Mandela
  17. Hatakama

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tuache ubishi usio na tija, huwezi kulinganisha dar na Nairobi, labda dar tulinganishe na kisumu (mm ni mtz but sibishi kiashki majinuni)
Back
Top Bottom