Search results

  1. B

    Sababu ya mishahara kuchelewa mwezi huu April

    Nimesikitishwa kwamba hadi usiku huu walimu mkoa wa Mbeya hawajapata mshahara wa mwezi Aprili! Mwenye taarifa atujuze kulikoni? Je ni tatizo la nchi nzima?
  2. B

    Nimechoshwa na bia,, kinywaji gani kizuri unapotoka 'out'

    pingu bro ni kinywaji bora sn ukinywa siku moja utakaa wiki mbili kabla ya kuhitaji nyingine so it is cost effective!
  3. B

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Hata walutheri siku hizi tunaokoka, tunamkaribisha kwenye FARAGHA kila jumapili jioni na siku zote za katikati ya wiki! Yuko usharika gani tukampokee? Na usisahau kumkumbusha kuja kwenye mkesha kila jumapili ya mwisho wa mwezi kuanzia saa 1 jioni hadi 12 asubuhi!
  4. B

    Kificho kuwa M/Kiti wa muda Bunge la Katiba

    matokeo karibu yatatangazwa tusubiri
  5. B

    Mwenyekiti wa Bunge la Katiba

    Nimesikia kuna baadhi ya watu wanampendekeza Mch Christopher Mtikila ili aongoze bunge la Katiba! VIgezo eti anaonekana atakuwa na maamuzi huru! Wewe unampendekeza nani?
  6. B

    Rais wa Ufaransa, Francois Hollande atengana na Mpenzi wake

    aliye mchafu na azidi kuwa mchafu na mwenye haki azidi kutenda haki,suala la kwenda mbinguni sio lazima unaweza kuchagua baraka au laana! Oa tu pasco hadi wakuite dume la mbegu ili unakokwenda nako ukapewe taji ya haki yako sawasawa na matendo yako
  7. B

    Taarab kwa wanaume

    nadhan mtoa maada ameangalia mambo mawili,kwanza aina ya muziki wenyewe umejaa mipasho ambapo si tabia za wanaume, pili mashabiki wake walio wengi ni wanawake
  8. B

    Waislamu wauliwa kinyama

    nchi hii ni ya kwetu sote watz,machafuko ya kidini yakitokea hakuna atakaesalimika! Ni lazima amani yetu ilindwe kwa gharama yoyote!
  9. B

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    ni bora ayaseme mabaya yanayokuja kuliko mazuri ili watu wachukue tahadhari kabla hayajatukia na kuleta madhara makubwa
  10. B

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    huu sio utabiri ni unabii, yaani ametoa unabii! Ni tofauti na akina marehemu sheikh yahya! Ungekuwa unafuatilia unabii wake hakuna unabii aliowahi kutoa ambao haujatimia!
  11. B

    Mchawi Hana technologia ya Kukuua ana Technologia ya Kukuamisha tu

    Mungu wetu katika Yesu Kristo yupo na anaokoa na kufufua wafu! Yu hai na ni Mungu anaetenda kazi! Wewe kama Mungu wako hawezi kufufua pole sana! Hata ufanyeje watu watakuja kwa Yesu wataokoka tu, wataijua kweli nayo kweli itawaweka huru katika Kristo Yesu!
  12. B

    Utoaji wa fomu za viwanja jiji la Mbeya leo umegubikwa na utata

    Halmashauri ya jiji la Mbeya leo ilianza zoezi la kutoa fomu kwa ajili ya kuuza viwanja 450 vilivyoko eneo la Sistila. Fomu ilikuwa inauzwa sh 80,000. Watu waliwahi tangu saa 11 asubuhi ambapo kila anaefika alikuwa anajiorodhesha jina ili kupata namba ya kwenye foleni. Cha kushangaza alipofika...
  13. B

    Mwakyembe Na Usalama wa Taifa

    lakini pia inawezekana hao ndio wanaompa taarifa hizo nae anazifanyia kazi!
  14. B

    Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    tunao maprofesa wazuri sana tena wana mchango mkubwa sana mjengoni, big up mh. profesa maji marefu! Ni msomi tunaekutegemea sana!
  15. B

    Toa ushauri kwa televison ya taifa TBC

    tido mhando ni vema arudishwe kwa gharama yoyote!
  16. B

    Kituko Bukoba-Kanisa la kirokole lawazuia maharusi kwenda kijijini kwao kwamba kutakuwa na pombe!

    mtoa mada umepotoka, ulikuwa wajibu wa wazazi kuheshimu imani ya mtoto wao maana harusi haikuwa yao bali ilikuwa ya mtoto wao,naamini walikaidi tu lkn walifahamu vema msimamo wa mtoto wao! Hapa kanisa halistahili kulaumiwa kabisa
  17. B

    je, hapa pana haki kweli?

    nipo kijiji kimoja mkoan mbeya; kuna kijana jana alikamatwa akiwanajisi watoto wa kiume wa umri wa miaka 11, kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 baada ya kuhojiwa amekiri kuwafanyia vijana hao vitendo hivyo mara kadhaa! Polisi walimkamata jana na kumfikisha kituoni! Cha ajabu wazazi wa watoto...
Back
Top Bottom