Kuna vitu vya kuvumilia ila sio vya kukera Kama hivyo ulivyovitaja,ni afadhali mtu akuchukie kwa kumwambia ukweli kuliko kukupenda kwa kuyafumbia macho madudu yake
Ulichosema ni kweli lkn ni wanaume wachache sana ambao hufikia hatua hiyo uliyoisema ya kupigana,coz hayo mambo huwa matamu baada ya maridhiano ya pande zote mbili
Wabunge kama hawa nao wakapimwe mkojo maana kwa hali tuliyonayo kama Taifa kipaumbele chetu kwenye katiba si kuongeza mda wa kuwepo kwenye madaraka,kuna mambo mengi yenye umuhimu kwa watanzania wote hayo ndo yakuyapigania na sio kuanza kuangalia matumbo yao tu
Ni vyema nawe ungetubainishia Sifa zako,una elimu gani na una umri gan na hata shughuli zako pia kama hutojali,ili mtu anapofanya maamuzi ya kukufuata ajue anaenda kwa mtu Wa aina ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.