Search results

  1. G

    Nahitaji gx 100 mark 2.

    Call me through 0784755778
  2. G

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    kwa bahati mbaya sana,tatizo la mgomo wa mafuta lilitawaliwa na taarifa kutoka kwa EWURA pekee na ni ukweli usiopingika kwamba wengi wetu hatukupata nafasi ya kuchanganua chanjo hasa cha mgomo, na ni vipengele gani ambavyo vilikuwa/bado vinapiganiwa.. Taarifa amabzo zimezagaa kwa wingi ni...
  3. G

    Kampuni 4 za mafuta zapewa masaa 24.

    Hata mie nimeshangaa eti wametaja vituo vinne pekee.Katika pitapita yangu leo Karibu vituo vingine vyote navyo vimefungwa. kama Oryx,Total,Gapco n.k Lakini wenyewe wameona tu hivyo... Tetesi zinasema kwamba Oil market companies wanaelekea dodoma kwa mazungumzo zaidi.Ila ni kweli hakuna aja ya...
  4. G

    Who owns BP Tanzania Ltd?

    Mmiliki mwingine kwa sasa ni BP yenyewe kupitia Africa arm. Ingawa kwa wale waliobahatika kusoma press release ya FCC (fair competition commission), BP wameuza kwa Puma Energy (subsidiary of Trifigura). Kuhusu kugoma,hilo swali kwa kweli ni gumu kwani maamuzi ya kuuza au kutouza yanafanywa na...
  5. G

    Tanzania kupata mkopo wa USD 250Million kutoka mabenki ya ndani na nnje ya Nchi

    Hivi punde imethibitishwa kuwa Serikali ya JK itapokea mkopo wa kiasi cha USD 250Million kutoka kwa mabenki ya ndani na nnje ya nchi. Stanbic ndiyo inaonekana kuwa "Lead Arranger" wa mkopo huu,ingawa mabenki mengine ya ndani hayajatajwa bado. Maswali ambayo inabidi tujiulize ni kama yafuatayo...
  6. G

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Haya Jamani uhakika ni kwa jinsi gani bei zinatarajiwa kuwa kesho tafadhali soma hapo chini. EWURA- REF: PPR/08 - 1/11 PUBLIC NOTICE ON CAP PRICES FOR PETROLEUM PRODUCTS EFFECTIVE 3RD AUGUST 2011 Following the completion of a public inquiry process that was aimed at coming up with a new price...
  7. G

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Hoyce-hapa hatugombani bali tunapeana taarifa ili wenye kufanya maamuzi wafanye.Nilichowasilisha ndiyo yanayosemwa na wadau.Kuhusu kwamba stock itaisha mpaka baada ya mwezi au la hilo si letu la kuamua ila kinachotusu hapa ni athari ambozo zinaweza kuletelezwa na maamuzi haya.Hakuna anayependa...
  8. G

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    King'asti-Teh teh teh .Ni kweli ila mkuu punguzo la 300 si mchezo.Unafahamu margin wanayopa dealer ni TZS 100 tu! Ila ndiyo hivyo wataelewana tu sis ni "price taker" na mtetezi wetu ndiyo EWURA.Ila ukweli ni kwamba kuna 'politics" nyingi sana kwenye hili suala.
  9. G

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    kuhusu kugoma kunaweza kusitokee lakini ukweli ni kwamba kufuatia EWURA kushusha bei kuna uwezekano mkubwa makapuni mengi yakapata hasara kwani wana "stock" ambayo kwa njia moja au nyingine itaweza kuisha baada ya mwezi. Habari zilizopo ni kwamba,mwezi uliopita EWURA waliishapunguza bei kwa TZS...
  10. G

    Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?

    Kwa kuheshimu mipaka ya uhuru wa kutoa maoni,sitawezi kutoa thamani ya hii compuni kwa sasa lakini kwa faida ya wasiofahamu,SSB kwa sasa ni moja ya makampuni makubwa Africa Mashariki na Kati. Ni kweli maamuzi makubwa yanatawaliwa na wanafamilia lakini hii ndiyo kawaida ya biashara zote ambazo...
  11. G

    Jamani Azam cola nomaaaaa......

    Mtanganyika.Nakubaliana na wewe kuhusu umuhimu wa brand kwenye biashara.Lakini kwa habari ya AZAM-Ngoja nikupe changamoto ya kufanya uchunguzi ni kwa jinsi gani brand hii inafahamika sasa hivi barani Africa. kwa kukusaidia tu,sasa hivi bidhaa za AZAM zinafahamika Nchi zote za Africa Mashariki...
  12. G

    Jamani Azam cola nomaaaaa......

    Amanindoyella- Sayona ni ya Shubashi-nI MMOJA WA WAFANYABIASHARA WAKUBWA BONGO
  13. G

    Dr Ndibalema wa udsm afariki

    Mie ndiyo nipo hapa msibani.Sababu ya kifo ni 'BP'.Aliamka asubuh ajisikii vizuri wakaamua kumpeleka zahati moja kwa uchunguz wa awali,wakakuta PB ipo chini,walivyojitaidi kuipandisha ndiyo hivyo alivyotutoka. kwa kifupi alikuwa ni mzee kwa kisasa zaid asiyependa makuu. RIP Dr Ndibalema
Back
Top Bottom