Search results

  1. N

    Natafuta nyumba Mwanza

    nashukuru nimepata nyumba mwanza
  2. N

    Nyumba inauzwa ipo msasani, jirani na NMB Bank

    Wadau wote wa mwanza, Natafuta nyumba ya kupanga ambayo ina vyumba viwili(2) na choo cha ndani. kama unanyumba yoyote tafadhali nipigie 0767228809 Sisco. Chakudhingatia nyumba hiyo ni vema iwe nzuri.
  3. N

    Nyumba inauzwa ipo msasani, jirani na NMB Bank

    Nyumba inauzwa ipo eneo la masasani, jirani na nmb Bank . Kwa maelekezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hii 0784 511 529
  4. N

    Mke wa Waziri, Mrs Robinson,alipata kijana wa kumliwaza!!!

    I dont see any problem, i Hate to see people surrounding us enforce us to do things that we dont like to do. In my opinion i think if she feel in love then she have to go for it . Nothing wrong with a woman and a president himself. i think everyone should think for himself first, by asking...
  5. N

    Mbunge anaswa kibao na mbunge mwenzake mwanamama!

    haaaaa, haaaa , Swala la vibao ngumi inaonyesha ni jinsi gani watu bado hawajakuwa kiakiri sambamba na kutojieshimu. Tunapofanya hivi watoto wetu tunawafundisha nini?. Na kama ingekuwa ni mwanaume ndio kamnasa mwanamke kibao watu na mataifa kwa ujumla wangeliangaliaje swala hili. Cha msingi sio...
  6. N

    Benson Bana au Baunsen Burner? - TBC mmechoka ile mbaya

    Hivi kuna ukweli kura zilichakachuliwa kama ni kweli naomba mifano ya kweli katika maeneo husika.
  7. N

    Blandina Nyoni, You are tired, you deserve to be fired!

    Nimejitaidi kusoma hoja nyingi kuhusu huyu mama, kwa sisi wataalam wa maswala ya haki za binadamu bado sijaona hoja hata moja ambayo inadhibitisha ya kuwa yeye anahatia. Kwa ufupi tunapoongelea swala la daktari anayetambulika kiserikali. Serikali huwa inafanya juu chini kumpata daktari aliye...
  8. N

    Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

    Kama Ndugu Samwel John Sitta hatachaguliwa Bunge litapelea sana maana Ndugu Samwel sitta alikuwa anafurahisha pia wabunge na kuwafanya wahamke na kuchangia mada hususan wale wanaoingia bungeni wakiwa wamechoka na kuamua kupumzika humo humo bungeni.
Back
Top Bottom