Nyumba inauzwa ipo msasani, jirani na NMB Bank

Nafahamu

Member
Nov 9, 2010
8
0
Nyumba inauzwa ipo eneo la masasani, jirani na nmb Bank . Kwa maelekezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hii 0784 511 529

0784511529.jpg
 
Mmmhh jamani msasani kweli hii au vingunguti maana hiyo nyumba sijui msasa upi huo
 
Ni kiwanja sio nyumba hamna nyumba hapo weka bei na ukubwa wa kiwanja.
 
Wadau wote wa mwanza, Natafuta nyumba ya kupanga ambayo ina vyumba viwili(2) na choo cha ndani. kama unanyumba yoyote tafadhali nipigie 0767228809 Sisco. Chakudhingatia nyumba hiyo ni vema iwe nzuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom