Search results

  1. Ngonidema

    Barakoa zimepanda bei gafla

    Wauzaji wa vifaa vya kujinginga na gojwa hatari la covid 19, wamepandisha bei za barakoa (mask) zile zilizokuwa zinauzwa shiling 1000 /= zimepandishwa kwa sasa ni elfu tatu (3000/=), ukiwauliza wanasema na wao wapandishiwa kodi na serikali, kama ni kweli serikali mna nia gani na watanzani?
  2. Ngonidema

    Nape: ndan ya Ktn news

    Mhe. Nape Nnauye yupo live kupitia ktn news nchin kenya, kwenye kipindi cha Mdahalo, Mada ni siasa za Afrika
  3. Ngonidema

    Nina Godaun Nalipangisha maeneo ya Mandela road

    Hbr wana Jf, Nina godaun Nalipangisha maeneo ya Mandela road ni SQR METER 2000, kwayoyote anaye hitaji ani PM
  4. Ngonidema

    Tetesi!! Wapigaji kuandanama kwa kuzalilishwa kwa Mpigaji Mkuu

    Nimepata fununu kuwa kutakuwa na Maandamano makubwa ya kupinga kudhalauliwa kwa Mpigaji wao mkuu
  5. Ngonidema

    Wilima sec school tufahamiane apa

    Hbr wana jf, wale wote waliosoma wilima sec school, Madaba-Lilondo tujumuike kwa mastory ya Ulanzi
  6. Ngonidema

    Tanzania ndo nchi ya kwanza Dunia kwa kujenga Nyumba katikati ya barabara

    Izi nyumba zilizopo kwenye barabara za magar za mwendo kasi kuna sehemu nyingne zipo apa dunian.
  7. Ngonidema

    CCM kilianza na JK na kinakufa kwa JK, Mungu wa Ajabu sana!!

    Hbr za jpili wana Jf,. Chama cha mapindizi kilizaliwa kikiwa chin ya mwenyekiti wake Julias kambarage(JK), na sasa chama kimekufa kikiwa chini ya mzee wa hewani(JK).
  8. Ngonidema

    Magufuli awaponda ccm, Lowasa njia nyeupe Ikulu

    Hbr wana jf, Leo mr kuweit akiwa mkoani singida ameponda waziwaz mtindo wa chama chake wa kununua shahada za wapiga kura na kuwaambia watanzania waache wasiuze shahada zao, Japo hakuweka wazi chama gani chenye tabia hiyo, Japo wenye tabia hiyo ni chama chake mwenyewe, Tunashukuru mr kuweit kwa...
  9. Ngonidema

    Maombi kwa ajili ya Rais wetu Mtarajiwa Mh Edwar Ngoyai Lowasa!!

    Asalam.. Alukum, Tumsifu Yesu kristo...Bwana asifiwe... Wapenzi, Mashabiki,Wanachama wa vyama vyote na na watu wote wapenda Mabadiliko Tanzania, Naomba nichukue nafc hii kutoa ushauri wangu,.. Nashauri tutafute muda Maalum kila cku kuanzia Tumwombee rais wetu Mtarajiwa Mh lowasa, kwasababu saut...
  10. Ngonidema

    Naomba kujua dalili za chama kikongwe kinavyo anguka!!?

    Hbr wana Jf, iv vyama ving vikongwe vinavyokalibia kufa au kukata roho, Dalili zake ni kama hiz inayoonyweshwa na ccm?
  11. Ngonidema

    Elections 2015 Tanzania mpya, Tanzania ya Rais Edward Lowasa Mtendaji asiye shindwa Inakuja tar 25 Octbr

    Hakuna Mjadala tena Maccm yamepoteana kabsa hawaelewi pakuingilia wala pakutokea kwasasa kwan maccm yamekataliwa kila mahali c vijjn wala town, walichobakiwa nacho ni ile asili yao ya kukataa ukweli coz wameamishwa ivyo bila kusahau uwongo uwongo na umbeya mwingii+mipasho isiyo na tija kwa Taifa...
  12. Ngonidema

    Namuona Magufuli ameshakubali kushindwa

    Muonekano wake na kauli zake zinawavunja moyo Magamba wenzake, kiukweli Pombe kisiasa bado sana na huu ulikuwa siyo muda wake, amekabithiwa Mzigo mzito sana ambao hawezi kabisa kuubeba nahsi atautua njiani, kiukweli lowasa siyo size yake kabsa, size ya mr Pombe ni Dk Mihogo,na ndiyo mana kwasasa...
  13. Ngonidema

    Asante Mh. Mbowe!

    Akihutubia malaki ya Watanzania Mjini Sumbawanga leo amejibu hoja dhaifu za Dk Slaa, Amesema CHADEMA siyo mali ya Dk Slaa, Mbowe au kiongozi yoyote yule, CHADEMA ni mali ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao. Haiwezekani mtu na mke wake wajifanye CHADEMA ni mali yao. Chanzo: ITV habari...
  14. Ngonidema

    Kweli Mungu hujibu maombi, CCM chaliii

    Niaje wana Jf, Hakika na Kweli Mungu wetu hana Mzaha na Hana kinyongo Kwa wale wamchao na Ndiyo mana amesikia Maombi ya Wanyonge wa Tanzania, kiukweli kabsa Magamba yamepoteana, yanahangamia na Majibu ya Muombi ya watanzania kwa Mungu wetu Anaechukia dhuruma, Manyanyaso, dharau, ufisadi...
Back
Top Bottom