Mandela Rd kipande kipi na bei ikoje!!
Sawa.....
Hbr wana Jf, Nina godaun Nalipangisha maeneo ya Mandela road ni SQR METER 2000, kwayoyote anaye hitaji ani PM
Kakodi uuze spare za vanguard ....
Lukuvi ndio anayemiliki Hilo ghala!? Jipu wahedi weeekamuulize Lukuvi!!