MSITIANE UJINGA HAPA
Mume kumpiga mke wake ni ujinga, ni ushamba na ni udhaifu mkubwa, na wala si ujanja, tena mume anayempiga mke wake halafu anakuja hapa JF kujifisia huo ni ushamba zaidi na anahitaji maombi na msaada wa kisaokolojia. Ukimpiga mkeo, tambua kwamba wewe mwanaume una matatizo na...
Asili ya neno Bodaboda inatokana na neno/maneno ya kiingereza 'boader to boader' ikimaanisha 'mpaka hadi mpaka'. Biashara ya ukodishwaji wa pikipiki kama chombo cha kusafiria ilianzia zaidi mipakani hasa maeneo ya Congo, Uganda na Rwanda, ambako wafanya biashara wa biashara (halali na haramu)...
Siku ya Eid/Swala ya Eid inakuwa na idadi kubwa ya waumini wanaokwenda kuswali, hii husababisha eneo la ndani ya msikiti kutowatosha waumini waliokuja kufanya ibada hiyo, hivyo ni hekima ya kawaida kwamba mahali sahihi kufanyia ibada hiyo ni nje, kwenye kiwanja au eneo la wazi ambalo litaruhusu...
Katika maisha yetu ya kila siku, kwa kujua au bila kujua inaweza kutokea mwenza/mpenzi wako, au rafiki au ndugu akatoa maneno kwako au kauli kwako (Huenda bila kukusudia) lakini ukajikuta kauli hiyo imekukera sana na kukusababishia hamaki na kuleta sintofahamu kati yenu.
Wakati mwingine...
Unapokishika kitabu kimoja mkononi, haijalishi kina kurasa ngapi, tambua kwamba umeshika kazi iliyofanyiwa utafiti wa muda mrefu. Hakuna mtu anaandika kitabu bila utafiti, hivyo unaposoma kitabu kimoja ni sawa utasoma utafiti wa mtaalam fulani mwenye fani fulani. Ni sawa uko darasani...
Tunazungumzia nchi yetu hii pendwa au nchi nyingine?
Sheria zipo lakini inategemea wewe ni nani, unamjua nani na una kiasi gani mkoni mwako? Na hii wala si porojo za kijiweni, kiongozi mmoja mkubwa na mwenye nguvu amenukuliwa hivi kwamba akikiri kwamba huwezi kupata haki kwenye mamlaka za...
Hiyo inaitwa Kanuni ya Mvuto (Law of Attraction), maana yake ni kwamba kitu chochocte unachokiwaza sana kwenye akili yako (Kiwe positive au negative) kitazama kwenye akili ya ndani (Sub Conscious Mind) lazima kijitokeze, kijibainishe au kilete matokeo uyashuhudie (Manifestation). Akili ya...
Tatizo lako kama lilivyo kwa wabongo wengi sio elimu (Education) maana tayari unayo, bali ni mtazamo wako, unahitaji mabadiliko ya kiakili (Mindset transformation) na pia kwa elimu yako uliyonayo unapaswa kujiuliza what can you DELIVER, yaani kwa elimu yako uliyonayo unaweza kufanya nayo nini...
Tatizo si elimu wala njaa au stress, tatizo kubwa walilonalo watanzania wengi hawana maudhui (content), hawana hoja za kuleta kwenye mijadala na mazungumzo ya kawaida. Ili uwe na hoja ya kupinga au kukubaliana na jambo fulani LAZIMA UWE NA MAUDHUI (CONTENT), kama huna content huwezi kuwa na hoja...
Tanzania doesn't need a new President; it is the whole society that needs an overhaul in mindset transformation. It is the common people who need to change their ways of thinking, especially towards their leaders. The people have allowed and accepted their leaders to prioritize personal...
Mwanaume wa kweli kwanini uwazie kuaminika na kufikiria kwenda kukopa kwa wanaume wengine? Mwanaume wa kweli anajijengea uwezo wake wa kiuchumi ili aweze kukabiliana na changamoto za fedha na zingine yeye mwenyewe.
You are missing a point big time, hakuna uhusiano kati ya kumsomesha mtoto shule ya EM au za kawaida, na kukusaidia akiwa mtu mzima. Kuna factors nyingi zinazosababisha mtoto au watoto wako wakusaidie ukipatwa na changamoto za afya au za kifedha.
Tafuta hela uwapeleke watoto wako shule bora na...
UKWELI MCHUNGU
Kwa taarifa yako, ni kwamba hakuna kitu kitakachoshindikana mbele ya serikali (IKIAMUA), UKIONA KITU KINASUASUA MBELE YA SERIKALI UJUE KWAMBA HAIJAAMUA. Serikali haina shida kutumia mabilioni ya shilingi kwa vitu ambavyo inavyotaka yenyewe. Jiulize kwanini serikali haiamui kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.