Mwenye mali ghafi ni mimi yeye ana mitambo.Kwa nini isiwe 50 kwa 50? Huyu mwekezaji recovering period ya uwekezaji ni miaka mingapi? Au iwe hiyo 30 baada ya recovery period iwe 50 kwa 50. Maoni yangu.
Mbona sasa anaogopa kumfusha MRUSI huko Ukrain badala yake yeye na NATO wanambwekea tu? Mimi naona kuna kitu anacho Mrusi Mmarekani na Nato wanakiogopa.Si bure!
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Mimi ningependa kutoa ushauri ufuatao; Kwamba ruzuku isipewe Kanda ambayo mezani kwao kuna maombi ya wateja wanaotaka kufungiwa umeme.Wapewe wale ambao wamekamilisha hilo zoezi Kama ana maombi ambayo hayajashughulikiwa atoe maelezo kwa nini hawajatekeleza.Hi itasaidia kupunguza mlundikano wa...
Hoja yangu hapa ni kwa uelewa wa katiba utaanzia chini kabisa katika shule na italeta tija kwenye yafuatayo:
1. Uzalendo wa nchi ya hicho kizazi utakuwa wa hali ya juu kwa kuifahamu katiba ya nchi yao.
2. Huu mtindo wa kufungua vilabu vya kuchukia rushwa havitakuwa na tija nzuri kama...
Tu
Turudi kwenye utawala wa kichifu Nakabila yenye nguvu au wote kwa ujumla wao wamteue mmoja atawale. Biashara iishie hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naiunga mkono hi hoja! Kwa yale maneno ya kitaalamu ya vitu au vyombo viandikwe kwa jina hilo hilo kwa matamshi yetu. Siyo dhambi. Hi dhana ya wataalamu wetu wa Kiswahili kukaa chini na kutafuta neno la kiswahili mfano computer iitwe kompyuta lakini nsikilizie majina yanayotengezwa mapya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.