Search results

  1. J

    Vitabu vya kumpa hamasa mtoto

    Salaaam. Wajumbe naomba ushauri kwa mwenye kujua kitabu ninachoweza kumpa mtoto wa shule ya msingi ili asome apate kuwa na maarifa makubwa ya kidunia (Ujasiriamali, au critical thinking)
  2. J

    CHADEMA katika enzi mpya

    Huu ni wakati Chadema na hasa Mbowe wanatakiwa kuwa makini sana sana na kinachoendelea ndani ya chama chao. Changamoto zake hazisababishwi na CCM bali na sauti za ndani zinazoongezeka kutilia shaka kinachoendelea. Kama Mbowe asipokuwa makini ktk mazungumzo basi ajiandae kwa changamoto kubwa...
  3. J

    Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    ndugu yangu nafikiri haujatembea sana kwenye makanisa ya katoliki hasa yaliyopo vijiji. ni jambo la kawaida sana kuwakuta watu hasa wanawake wakihudhuria ibadani na nguo (kanga au Vilemba) vya ccm zile zimeandikwa chagua ccm, chagua ... (mkapa/kikwete/magufuli) kuvaa hizi nguo wakati mwingine ni...
  4. J

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    mkuu sana . naomba unitag ukirejea sasa na hata kwa makala zako zingine
  5. J

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    upuuzi ni nini? upuuzi kujitungia maswali na kisha ukashindwa kuyajibu ww mwenyewe uliyetunga Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Kangi Lugola: Kama risasi zilikuwa zikipigwa kiholela kwanini dereva wa Lissu hakupigwa na risasi hata moja?

    ndugu hata uongo kuna watu wanausomea kitaalam wanaitwa wanapropaganda. uwezo wako ni mdogo sana katika kupotosha. umeliona hilo gari lilopigwa kutokea kulia? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl tafadhali naomba kama unaweza kunisaidia kujua gharama za hcho kitanda mpaka kufika TZ. Mteja wangu anakihitaji kama hicho NIMEJARIBU KUWAULIZA MAFUNDI BAATI MBAYA WAMEKUWA WASANII , MAFUNDI WAWILI TOFAUTI WAMENITUMIA PICHA MOJA INYOFANANA NA WOTE WANADAI WAMEWAHI KUTENGENEZA KAMA HICHO...
  8. J

    Kung'oka meno yangu ya chini: Ndoto inayojirudia mara kwa mara

    Fuatilia link hiyo utapata pa kuanzia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    ATCL yatua Entebbe, Waganda wafurahia uwanjani

    Walitoa machozi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    MOD, Tafadhali mpigine BAN huyu mleta thread, anasababisha wengine tukose utulivu wa akili.
  11. J

    Baada ya kuua sekta ya Elimu sasa wanahamia kwa madaktari? Sasa ruksa kusomea udaktari kwa waliopata division 4!

    Hakuna shida kwani siku hizi DISCO' vyuoni zimetolewa? Wacha waende kitabu kitawakimbiza unless uniambie kuwa wakufunzi wetu wanafaulisha kila aliye sajiliwa kuanza chuo lazima amalize. Hiyo ni fursa kwa wale waliopenda kuwa madaktari lkn mazingira yakawakwamisha.
  12. J

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl.RCT salaam, ninatafuta kamera ya usalama ambayo ninaweza kuweka sitting room kwangu bila watu kuishtukia ili niweze kujua yanayotendeka wakati sipo hii hasa ni kwa ajili ya usalama wa watoto ninapokuwa safarini. ningependa kama ingekuwa inaweza kuwa accessed nikiwa mbali pia kama imejaa...
  13. J

    Joseph Yona: 06/01/2014 nilitekwa na CHADEMA kwa maagizo ya Mbowe na Mnyika

    Aaaahhh Dar es Salaam mtu yuko mita 600 kutoka kwako unasema ni jirani yako?. Km ni rafiki ningeelewa
  14. J

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    HATA MIMI NAHISI HIVYO HIVYO, HAYA YOTE NI YA KUPIKA ILI SERIKALI IJIONDOE NA LAWAMA IRUHUSU WACHUNGUZI WA KIMATAIFA KWA HAYO MATUKIO YOTE ILI TUKATE MZIZI WA FITINA TUENDELEE KUJENGA NCHI YA VIWANDA SIO NCHI YA HISIA HASI KILA SIKU
  15. J

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    HATA MIMI NAHISI HIVYO HIVYO, HAYA YOTE NI YA KUPIKA ILI SERIKALI IJIONDOE NA LAWAMA IRUHUSU WACHUNGUZI WA KIMATAIFA KWA HAYO MATUKIO YOTE ILI TUKATE MZIZI WA FITINA TUENDELEE KUJENGA NCHI YA VIWANDA SIO NCHI YA HISIA HASI KILA SIKU
  16. J

    Wapi naweza kupata Tv aina hizi Dar es salaam?

    hizi ni FTA? zinapatikana wapi? na bei zake ni vipi?
  17. J

    Huyu ndo mlikuwa mnamlinganisha na mwalimu Nyerere?, Mtakeni radhi Mwalimu !!

    acheni kujifanya ,mnajua kukashifu viongozi kisayansi. kusema Rais aliyetawala mwaka 1964 anafanana kiutendaji na Rais aliyetawala 2017, ni dharau kubwa. leo hii tukisema unafanya maamuzi kama ambayo alifanya babu yako mwak 1964, tunamaanisha nini? kama sio kukwambia wewe unaishi dunia ya...
  18. J

    Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    KAMA UNA NIA YA KUELEWA NIFUATE: 1. Miaka ya nyuma kanisa lilibebwa sana na michango ya wakristu wa kutoka maeneo mengine ya dunia hasa ulaya, sio kwamba kulikuwa hakuna michango bali hatukuchanga sisi waafrica 2. kanisa linatakiwa kusambaa na kuenea kila mahali mfaano kanisa la mafia liko...
  19. J

    Je, ni sahihi kuendelea kuamini kuwa CHADEMA bado ni chama imara cha upinzani?

    sure ni fair zaidi tukiamini kati yangu mimi na wewe kuna mmoja wetu zuzu. ni nani? time will tell
Back
Top Bottom