Search results

  1. ruaaika

    LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

    Lijamaa ni balaa,,
  2. ruaaika

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Huu mgogoro japo unakataliwa kuwa haupo kiasi hicho ila ni kitu ambacho kitaleta matatizo makubwa hatakama sio leo kisipo tatuliwa mapema, tuchukue mfano wa Ethiopia na Eritrea kwenye mgogoro wa mpaka unazua vita mara kwa mara.
  3. ruaaika

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Acha unazi na upotoshaji kwa mawazo mafupi.
  4. ruaaika

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii fainali!!
  5. ruaaika

    Yanga vurugu tupu!!

    Nakubaliana nanyi Uyanga na Usimba ndo watupeleka kubaya kisoka, lakini nadhani suala la udhamini wa timu ni mbinu za uongozi wa club husika, mdhamini wa ligi ndo analazimika kuhusika na timu zote zinazoshiriki ligi husika, na ndivyo ilivyo Dunia nzima.
  6. ruaaika

    Hatuwezi kupata rais kama JK

    Aisifiae mvua,,
  7. ruaaika

    Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Nadhani tuna hitaji kukusanywa kwa pilau, kanga na fulana ili pia tuelimishwe kuhusu uozo wa uongozi wetu.
  8. ruaaika

    Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Yaani acha tu ndugu yangu, kibaraka mmoja anayejidai anatumia sana busara katika kujibu hoja, lakini wapii, anajiaibisha tu kwa kauli zake za kizandiki, kutoka katika kichwa chenye upeo finyu!
  9. ruaaika

    Huyu Ndio JK Bana!!!!!

    Kweli Tuu shamba la bibi a.k.a kichwa cha mwenda wazimu, yote haya yanaendelea nabado tuna zidi kutia juhudi katika kukunjia mkia tumboni kwa kutishwa na ndugu zetu tunao endelea kuteseka nao 'Polisi'. Bila kijitambua bado tuna safari ndefu mno!
  10. ruaaika

    Mombasa Republican Council wanataka nchi yao...

    Kimsingi mipaka aliweka mkoloni, sasa kuna taabu gani na sisi tukiweka yetu ambayo tunadhani itakua na manufaa kwetu?
  11. ruaaika

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hivi tumekubwa na nini? ni mmiliki au ufundi?
  12. ruaaika

    the story of chepe

    hahaa, iyo ramli ya kizungu!
  13. ruaaika

    Kiswahili fasaha

    Ya kwanza.
  14. ruaaika

    Mwenyenyumba!!

    Kama yote haya unayafahamu kwanini wewe usitekeleze ukijuacho? Hapa kwenyewe unaonyesha mapungufu yako unafanya unachokikosoa, na zaidi ya haya sehemu hii ndio mahala sahihi kwa mambo ya namna hii! Usifanye kila jambo ni siasa!
  15. ruaaika

    Rahaa, Karaa?

    Kama unafahamu au umewahi mwona anavyo nyemelea, anavyo jipinda, anavyo simamia kucha achilia mbali wasiwasi alionao! lakini haachi! hivii, chabo, inaraha au karaha?
  16. ruaaika

    Mkongo na Kinyozi wa Kibongo.

    Hahaahaaa, sasa msosi ushuka kweli?
  17. ruaaika

    Mkongo na Kinyozi wa Kibongo.

    Utaonekana weye cz umewahi kujihisi!!
Back
Top Bottom