Search results

  1. dwight

    Mshahara wa mwalimu unavyotafunwa CWT

    Mialimu yenyewe imelala. Acha yaibiwe hadi yakome yajue nguvu yao na yaanze kupambana dhidi ya adui CWT
  2. dwight

    Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Sehem ambayo mkoloni alituweza ni hili la dini, halafu wa- Afrika wanajifanya kuijua dini kuliko hata walioileta. Kil kitu wanahusisha na kukitazama kidini, very stupid people. Analalamika hili la mwaka mpya lkn unakuta amepanga kwa mkristu, ana ndugu wakristu, simu imetengezwa na wakristu...
  3. dwight

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Hahahahaaa Shuttle Pori bado zipo....ila Shato pori ukitembea kwa kuamua hata huchoki, ila sasa uwe umefulia, miguu inauma hadi unatamani uangue kilio kizito njiani.
  4. dwight

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Uchaguzi mmoja Daruso 2007/2008 bwana weeee, lile vibe la mgombea Odong Odwar. Akaundiwa zengwe hadi akaondolewa chuoni na kukodiwa ndege na serikali aseee
  5. dwight

    Zijue tabia za Mtanzania halisi

    We nawe umeamua tu kukomaza fuvu, wa -Tz sijui tulipatwa na shida gani kufikiri critically. Hajasema yote yana-apply kwa nchi nzima. Lakini pia wewe umesema karibia vyote, ina maana yake kuna vichache vinakugusa. Ndo hivyo sasa, bora uwe maskini kuliko ukose akili nzuri.
  6. dwight

    Mshahara wa mwalimu unavyotafunwa CWT

    Mialimu mijinga, acha yaibiwe tu
  7. dwight

    Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Kwani umeambiwa hiyo safina ilikuwa kama kidumu? Aidha, hizi hadithi ni zaidi ya tufikiriavyo pengine. Kwamba wanyama wote aliwakusanyaje jamani
  8. dwight

    #COVID19 Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

    Hapo una chanjo ya ndui na mwanao kachanjwa majuzi chanjo ya nini sijui...
  9. dwight

    Mdogo wangu kapata Division 2 ya point 1o; asome barchelor gani kati ya hizi?

    Asome Bachelor of Poverty and Applied Suffering
  10. dwight

    Hivi Watanzania kwa nini huwa wanatumia haya maneno mawili kwa wakati mmoja? "Unless otherwise"

    Ni kwamba unajifanya hujui kwamba English haitupendi waTz ama unajua? English haijawahi kutukubali...tunapoanza kuizungumza yenyewe hukaa pembeni na kututazama kwa jicho la kejeli
  11. dwight

    Serikali na wimbi la vifo vinavyotokana na kushindwa kupumua

    Wewe hayajakukuta, lakini watu ambao tumeshapoteza ndugu kwa muda mfupi kwa changamoto hizo tunajua nini kimeongelewa. Bora ufunge bakuli lako wachangie wengi akili kuliko mipunguani kama wewe.
  12. dwight

    Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Mimi nipe nitumie bure nikulipe nikiona majibu.
  13. dwight

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mtu aje Njombe Mjini idara sekondari nije Dar tafadhali. Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
  14. dwight

    Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

    Mtuondolee upuuzi wenu. Wakati hayo yanatokea wengine wanaohusika walikuwa wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. dwight

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Na mimi kama nilipata hayo mafua. Sina kumbukumbu vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  16. dwight

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hamna kitu. Huduma ovyo sana. Najiuliza hawa jamaa wanaokuja kwenye issues mtaani tukiripoti wana posho ya ziada au? Maana tatizo dogo tu plumbing mpk wamalize siku 3 au 4. Hapa tuna siku 8. Wanakuja wanaangalia na kuondoka. Nimepiga simu hadi nimechoka. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. dwight

    Hii video inayosambaa mitandaoni kuhusu Corona Moshi ni ya kweli?

    Clip umeona au na wewe kujifanya mjuaji mitandaoni tu? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom