Search results

  1. JOANNA

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    You did a great job insider!!This story will motivate you to work hard👍
  2. JOANNA

    I want to kill myself

    You are haunted by a spirit of death.Is not about you is about your spiritual realm.Spiritual battles are won spiritually.You need to receive Jesus Christ as your savior ASAP.He is the only one who won death.Death couldn't hold him.
  3. JOANNA

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Pole sana Leah.Mungu akupe faraja na kukutia nguvu.
  4. JOANNA

    Kama serikali imeruhusu mbegu za mahindi za GMO, watanzania tutegemee maradhi yasiyotibika

    Hii ni hatari GMO inaleta madhara makubwa ya kiafya na mazingira.Madhara ya kiafya ni mengi organ disruption,cancer na pia kuna uhusiano mkubwa kati ya GMO seed na autism,watoto wanazaliwa na ulemavu wa ubongo.Serikali haijajiandaa kutatua matatizo yanayoletwa na GMO,haina health facility,hakuna...
  5. JOANNA

    Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

    Nianze na damu kuwa blanket,Ndio Damu ya Yesu ni blanket letu ndio maana aliondoka kuja duniani kutufia msalabani.Wana waisrael waliambiwa waweke damu mlangoni ili Malaika atakapo piga wazaliwa wa kwanza wapate protection.Tunafanya hivyo hivyo leo hii ila sisi hatuchinji ndama tunatumia damu ya...
  6. JOANNA

    Msaada: Kufanya vitafunwa vikae muda mrefu

    Weka kwenye freezer inayoweza kumaintain baridi ya 00°F au -18°C.Ukiweka hiyo setting maandazi yanaweza kaa hata zaidi ya three month.Ingawa utahitaji kuwa na microwave kuyapasha. Ili yawe fresh na yasiwe magumu utapasha kwa 25 second only.Na unapasha tu kwa ajili ya kuliwa,yakishapashwa...
  7. JOANNA

    Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

    Ndoto ni milango ya ulimwengu wa Kiroho.Kwa ndoto unaweza kukutana na ulimwengu wa giza au nuru.Ulimwengu wa kiroho unaweza kumiliki maisha yako kupitia ndoto.Samahani nitatumia biblia kufafanua,Mfano katika biblia malaika wa Bwana alimtokea Yusufu ktk ndoto kumpa warning amuondoe Yesu...
  8. JOANNA

    Nilikaa na jini chumbani masaa sita sitasahau

    Nenda kafanyiwe maombi hayo ni maagano tayari,Nenda kwenye makanisa ya kiroho ukafanyiwe deliverance haraka.Tayari umekuwa na connection na milango ya giza katika maisha yako.Wewe ndio unayeelewa ulichokiona na usifikiri kila mtu atakuelewa nenda kafanyiwe maombi.
  9. JOANNA

    Du, Kiinglish cha Viongozi wetu: Inatia aibu!

    Kwa jinsi maendeleo yanavyokwenda kwa haraka wacha tuende hivyohivyo kwa kuchechemea mbele ya safari tutajifunza na kujipanga zaidi,Wazee wetu walisoma zamani hizo na maendeleo yalikuwa si kama leo,Ni rahisi kuona makosa sasa sababu leo hii tuna maendeleo,tuna mawasiliano, tuna google kila kitu...
  10. JOANNA

    Watanzania tunakosa mbinu za kiji brand

    Ni kweli huu ni wakati wa kujifunza kuwa wa kimataifa zaidi.Obama kuja tz ni opportunity kubwa tumepata kimataifa kuitangaza nchi yetu,,Lakini kwa kiasi fulani hatujaitumia fursa hii vizuri haswa ukizingatia hichi ni kipindi technolojia ya mawasiliano imekuwa sana duniani.Waweza ona jinsi yule...
  11. JOANNA

    Mdomo wa LEMA ni hatari kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla

    Jamani matatizo kama haya yakitokea tunaacha siasa pembeni mitazamo yetu ya kidini pembeni na kusaidiana.Umoja ni nguvu kubwa ina uwezo wa kumuondoa adui hata kama ni mkubwa kiasi gani.Jamani hebu tuungane kwa Umoja na Upendo tusaidiane katika hili lililotokea na kuacha uchochezi.Kumbuka...
  12. JOANNA

    Freemason live on East africa radio now

    Sijasikiliza hicho kipindi ila Freemason is worship of lucifer!Sheria zao wameziweka wazi kwa kila mtu kusoma.Read freemason rituals kwa undani,wanatumia symbols na huwavuta watu katika maagano ya damu ili wapate utajiri.Hili ni swala la ulimwengu wa roho na ukitaka kulielewa lazima uzungumze...
  13. JOANNA

    Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    Iko hivi Bara na zenji ni kama mtu na mdogo wake,ukimuona dogo anapotea lazima umwonee huruma na umshauri kiutu uzima sbb mambo yasipoenda sawa baadaye atarudi tu kukusumbua!:clap2:
  14. JOANNA

    Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

    Too much imagination!!!Sijui tutawasaidiaje hawa ndugu zetu :help:
  15. JOANNA

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Kwa vile ni la imani halina uhusiano na vipimo vya kisayansi kabisa!!Swala ni kwamba watu wanapona kupitia imani!
  16. JOANNA

    Ndugu zangu nimefiwa na baba yangu

    Pole sana Chamkoroma!Mungu akuondolee uchungu
  17. JOANNA

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Goooo M Mwanakijiji!!!!I c it will real help :clap2:
Back
Top Bottom