Search results

  1. K

    Banza Stone na TOT

    Wadau heri ya mwaka mpya! Tafadhali, mwenye kukumbuka/kujua jina la rekodi hii aliyoimba Banza akiwa na TOT naomba anisaidie. Rekodi ni ile isemayo: Majungu si mtaji.......Majungu si biashara..........Msimamisheeeee................
  2. K

    Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

    Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na...
  3. K

    Bidhaa kupanda bei baada ya Uchaguzi Mkuu!!!!!!

    Tulizungumza sana wakati wa uchaguzi kwamba CCM inachukua pesa kutoka kwa wafanya biashara iwe kwa mtindo wa kuchangia (kinafiki) au kwa kulazimishwa (kutishwa). Katika hali hii tulitazamia kuona bidhaa zinapanda bei ikiwa ni njia ya watu hawa kurejesha pesa zao walizotoa kwa ajili ya kampeni za...
Back
Top Bottom