Wadau naona tatizo la ajira linaendelea kuwa kubwa siku hadi siku, najiuliza hizi biashara za network marketing haziwezi kupunguza tatizo la ajira kwani zina offer unlimited opportunities kwa nafasi na kipato pia.Tena ukizingatia haihitaji kuwa na mtaji bali ni kuelewa tu jinsi mfumo unavyofanya...
Wengi tumekuwa tumeweka mawazo yetu sana kwenye ajira,nakumbuka mara nyingi ukimwambia mtu ajiajiri anasema hawezi biashara lakini wakati huo huo kaajiriwa kuendesha na kusimamia biashara ya mtu mwingine.Halafu analalamika ana shida kipato hakimtoshi,ukweli ni kwamba aliyekuajiri ni kama wewe tu...
Habari wandugu,
Wengi wetu tumepata ujuzi mzuri tu na hatujabahatika kuajiriwa au tumeajiriwa lakini kipato ni kidogo mno kiasi kwamba tunaishi kwa taabu sana na malalamiko katika maisha yetu yametawala.
Tujiulize huko kwenye kuajiriwa tunaenda kufanya kazi gani?Na inakujenga vipi kimaisha...
Katika kipindi kilichorushwa na ITV tar 30 October,Ephraim Kibonde alimtupia swali ni vp ataweza kutufikisha kwenye malengo ya millenia,kwa masikitiko makubwa hakuna chochote cha msingi jamaa alichoweza kujibu alibaki kubwabwaja tu.Ukizingatia issue yenyewe inavyopewa kipaumbele kila pande ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.