Jk ashindwa kuainisha mikakati ya kufikia malengo ya milenia


sensa

sensa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
398
Likes
0
Points
33
sensa

sensa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
398 0 33
Katika kipindi kilichorushwa na ITV tar 30 October,Ephraim Kibonde alimtupia swali ni vp ataweza kutufikisha kwenye malengo ya millenia,kwa masikitiko makubwa hakuna chochote cha msingi jamaa alichoweza kujibu alibaki kubwabwaja tu.Ukizingatia issue yenyewe inavyopewa kipaumbele kila pande ya dunia,yeye mwenyewe akiwa anahudhuria sana makongamano ya kimataifa ambapo mara nyingi hiyo issue lazima iwekwe mezani.Je? ni kweli huyu jamaa ni mtupu hivyo?hana dira dhidi ya mambo anayoyafanya na tunaweza kusema anaendesha serekali kwa mtindo wa bora liende,yaani bila kuwa na mikakati ya nini cha kufanya ili afikie lengo fulani.Kwa hiyo inatia shaka sana pale serekali inapokuwa inaendeshwa kwa mtu ambaye anaonekana na uwezo wa akili wa aina hiyo.
 

Forum statistics

Threads 1,237,560
Members 475,562
Posts 29,293,608