Search results

  1. edward93

    Kuna baadhi ya taasisi za umma zinashindwa kuwaboreshea maslahi wafanyakazi wake

    Halmashauri gani nchini inalipa per diem ya 250k?
  2. edward93

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Usiwe serious sana! Kuna mambo mengne legeza tu ubungo kidogo!
  3. edward93

    Skimming ya nyumba nitumie Wall Putty au White Cement?

    Tumia white cement nje na wall puty ndani! Kama mfuko aupo vizri tumia tu wally puty haina shida pia!
  4. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Shukrani sana mzee! Tupo pamoja! We keep learning kila siku. Its a good coolant kwa gari zenye injini kubwa zinazopata heat kwa haraka na pia inasaidia kidgo kwenye tatzo common la subaru la head gasket coz hyo coolant haikai na joto muda mrefu na haishiki joto haraka kama maji au other coolants.
  5. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Asante sana mkuu, ntapitia hayo maeneo.
  6. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and...
  7. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Asante kwa ushauri mkuu! Nafahamu hilo ila kuwa antifreeze haina maana kuwa haiwezi kuwa applicable kwa nchi zenye joto, ndio mana kuna oil za 0W zinatumika na huku pia kwenye nchi zenye joto. So hiyo ni additional advantage ya product but haifanyi iwe limited.
  8. edward93

    Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

    Habari wakuu! Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant?
  9. edward93

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Zipo vizuri pia japo ni za kubahatisha mtandaoni ukitaka kuagiza! Nna mwanangu alibahatisha moja yupo nayo mpka sasa sijawahi kumskia akilalamika.
  10. edward93

    Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Jamaa yangu alikiagiza kikamsumbuaga sana akakiuza mkoani kwa hasara! Nmewahi kuona pia kwa east cars anasema zina matatizo mengi!
  11. edward93

    Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. edward93

    Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

    0717 792 566 mchek huyu alinifanyia kwangu! Wapo vizuri
  13. edward93

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Lengo langu alikua kukutisha mkuu, nlitaka angalau nikupe picha ya uhalisia ujipange vizuri! Kwa ramani hyo japo haina dimension roughly kama unapenda upate kitu kizuri inaweza kucost 60-70 pamoja na fence! Ila kama kiwanja chako ni 20 kwa 20 nakushauri utafute ramani nyingne ili upate nafasi...
  14. edward93

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Angalia 69 mkuu nlishasema
  15. edward93

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Ukienda na hesabu hiyo umeliwa mzee! Nkupa mfano mdgo nipe majibu Gharama za ufundi tu piga hesabu Fundi wa kujenga boma na shimo la choo Fundi wa kupaua na blandering Fundi wa jamvi Fundi wa electrical wiring Fundi wa plumbing Fundi wa plasta Fundi wa gypsum na skimming Fundi wa rangi Fundi wa...
  16. edward93

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Hapo mzee ni hatari zaidi! Lazima contamination itatokea
Back
Top Bottom