Bible ipo kimwili(Andiko) ili uielewe Mambo ya roho lazima uijue vizur na mifano. Israel sio kule Bali Ni Mtu yeyote aliempokea Yesu amefanyika taifa takatifu la Mungu. Hapa Tanzania na kila nchi kunae sodoma na gomora. Ilikuwa lazima iwepo ili ujue. Watu wanafirana hata hapo kwenye ukoo wako...
Shida unakuta mtu umeoa kwa akili zako kwamba nampenda ananipenda Mungu hajahusika then unampelekea Mungu akabariki kumbuka ulikuta kashaliwa yaani shetani ndie aliye Anza Kula tunda.Mfano Mzuri Ni Hawa wa adamu shetani alibandua Kwanza akampata kaini hivo hiyo hali ipo hivo ogopa Sana Hilo...
Afu kuvuna mwaka huu kunatofautiana kiaina sbb mwez wa pil na wa 3 hakukuwa na mvua ya kutosha. Wewe unataka Mpunga au unataka mchele. Maana wanavuna Sana Sasa hivi Kagongwa naweza kuulizia bei Kama hauna
Iran sio waarabu Ni Persian.hata wao wana vurugu ya ndan kwa ndan sbb Islamic walibeba nchi hivo wapinzan hawawakubal kikiwaka si ajabu Israel ikapata wasaidiz wa ndan kuwabonda watawala
Mungu hajatuumba hivyo kamwe. Lazima mwingine awe kwa ajir ya wengine. Kuwa beba kwa maombi na asitambulike kamwe ndivyo ilivyo. Mungu hukaa gizani anasema utashangaa nae Ni Nuru.
Wewe unaweza ukaomba lakini usijibiwe na ukaona umejibiwa. Mwingine anaweza akaomba kwa ajir yako akajibiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.