Search results

  1. nzitunga

    Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    Hata hapa Iringa wamekata umeme! Hii ni dalili kwamba hali ni mbaya ktk swala la Escrow account!
  2. nzitunga

    Tabia gani ambazo hupendi ukiwa kwenye daladala au basi la abiria?

    Nakereka sana na konda kutotoa ticket. Wengine kuvuta sigara ndani ya daladala
  3. nzitunga

    Gazeti la Mwananchi lamuomba radhi Rais Kikwete kwa kuandika alienda kumtembelea Rajab Maranda

    Mi nadhani Chief kinachotushangaza ni namna IKULU inavyotumia nguvu kukosoa kuwa RIAS hajakwenda kuwatembelea wagonjwa ambao ni wahalifu! Mimi sioni shida yeye kuwatembelea wahalifu ila kwa nini watumie nguvu hivyo kukosoa? Inatupa shaka sana! Historia inaonyesha mara nyingi wakikosoa hivyo...
  4. nzitunga

    Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

    Naona ifweero umekuja JF kwa malengo mahususi kabisa!
  5. nzitunga

    The Sad Truth is: Bunge la Katiba Dodoma Ni Reflection ya Taifa Letu la Sasa!

    Mimi nilipoona tu wabunge wa Makinda na Ndungai wamejaa mule nikasema napoteza muda wangu kusikiliza, takuwa napata summary za siku! Kimsingi wanasiasa walipasaswa wawe wachache mule ndani, what is happening now, ni muendelezo wa kinachotokeaga katika bunge la Makinda. Na zaidi ni kwamba rasimu...
  6. nzitunga

    Bunge la Katiba: CHADEMA imekosea sana katika hili

    Ninachoamini mimi, Sitta ni mwanaCCM na ni waziri ktk serikali ya CCM. Mwisho wa siku atajitahidi maslahi ya CCM yawe implemented. And I believe he will do it in a style, wait and you will see!
  7. nzitunga

    Gari mbili za aina ya IST(2004) zinauzwa bei poa..

    Kachokoza mpaka umesema bei! RTunashukuru kwa taarifa!
  8. nzitunga

    Pesa za wateja wa m-pesa, tigo pesa, airtel money na z-pesa wanao fariki zinakwenda wapi?

    Mi nadhani taratibu za mahakama ziko clear! Kama mtu amefariki na unafahamu kwamba alikuwa na pesa popote, say, MPesa, kwa court order hiyo account inafungwa na mirathi ikikamilika msimamizi wa mirathi anapaswa apewe pesa hizo kwa court order hiyohiyo. Tatizo la watu waliowengi huficha kama...
  9. nzitunga

    Tanzania kushindana na Kenya ni AIBU

    Nina sign out!
  10. nzitunga

    Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

    Mkuu sijakupata unaposema kuwawekea wenzako sumu!
  11. nzitunga

    InnocEnt fAces

    Sawa mkuu nimekupata
  12. nzitunga

    Ubishi kati ya Scania, Vs Benz Vs Daf Vs Iveco stralis Vs Howo

    Scania haina mshindani ikifuatiwa na Benzi.
  13. nzitunga

    Burundi: Hatutatambua maamuzi ya Jumuia ya Afrika Mashariki yasiyoshirikisha Tanzania!

    Mkuu umenena kabisa! Sasa ndo kusema serikali mara moja iachane na mpango wa kujenga bandari Bagamoyo na badala yake iimarishe bandari ya Tanga.
  14. nzitunga

    Tunajenga na mume wangu, niimalizie hiyo nyumba mwenyewe?

    Upendo hubadilisha yote! Upendo hushinda yote! Mwambie ampende sana mume wake, na kwa sababu upendo una tabia ya kurudi (reciprocity of love) huyo mume naye atampenda tu huyo mama na kusahau wote wa nje, amini usiamini. Tatizo la watu wengu tunapendwa kupendwa kwanza badala ya kuwa wa kwanza...
  15. nzitunga

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Huu mjadala unazidi kuwa mtamu. Ili kila mtu aweze kuestimate vizuri angepatikana mtaalam hapa akatupa exact or range of price for all materials required, at least unit price. Then akatupa estimates za idadi ya mbao na idadi ya bati for a given square meter(s). Hili ni swala la kitaalam sana, si...
  16. nzitunga

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Duh!! Taarifa zitamfikia, lakini ni vizuri aongee na mafundi wengine pia!
  17. nzitunga

    SASA nataka kuwa PADRI,hakuna mwanamke mwenye sifa SAHIHI wa kuolewa.

    Wanaokwenda UPADRE ni wale walioitwa na BWANA kuwa mapadre. Wanaoenda utawa (sister, brother, nk) ni wale walioitwa na BWANA kuwa watawa. Na kundi hili la mapadre na watawa ni zuri sana, Mungu uinuliwa kupitia kwao. Wanaoamua kuwa mapadre, mabrother, masister au watawa wengine kwa sababu...
  18. nzitunga

    Mkutano wa Wapinzani Jangwani kurushwa Live na Radio na Televisheni

    Mie nlisha tune-out hilo li TBC
  19. nzitunga

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Jamani kupaua ni gharama kuna rafiki yangu alitajiwa jumla ya 17M (ufundi, mbao, bati-ALAF, ukubwa around 15x20). Hapahapa DSM, Akaomba apunguziwe walau 14, ikashindikana. Akaahirisha. Kama huyo rafiki yangu akiiona hii post, atampigia huyu jamaa mara moja.
Back
Top Bottom