Search results

  1. Single mother

    Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

    Ni bora tu ningeanza mapenzi hata tangu zamani, nimemkosea nini Mungu (ni huo uzinzi nilofanya nikabeba mimba?) Nakosa suluhisho hili jambo linaniumiza sana moyoni japo wanaoniona nacheka hawawezi kujua, natamani nitumie helicopter nimwagie wanaume wote petrol angani niwalipue nawaona wakatili...
  2. Single mother

    Nilimsomesha mpenzi wangu na leo kaniacha kwenye mataa!

    ila kumfanya mtoto wa mtu miaka mitatu anafua mananiliu yako bila ndoa halafu unalalamika umeachwa??
  3. Single mother

    Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

    wengine wanakujaga kumshangaa sema hajuagi tu.
  4. Single mother

    Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    usihesabu makosa, kumbuka binadamu wana mapungufu sio mmeo akikukosea basi unaweka kiburiii unapunguza upendo wanandoa hogombana sana ila baada ya kuzungumza huishi kwa upendo kama mwanzo, hakikisha chumba chako kinakuwa kisafi sana na kinakuwa na mpangilio mzuri heshima kwa mumeo ni agizo...
  5. Single mother

    Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani?

    hebu kaa chini uandike kitu kinachoelewela
  6. Single mother

    Najiuliza maswali kuhusu Waziri Mkuu atakayetokana na UKAWA

    mleta uzi kaleta hoja nzuri sana si yakuleta uana ukawa wetu
  7. Single mother

    Hii ni kwa ajili ya single mother

    unavyosema mpaka mimba hivi unafikiri mimba inatungwa kwakufanya mara milioni au?? anyway najua tatizo ni IQ ,
  8. Single mother

    Wahudumu wa hoteli/guest/Lodge wanavyotoa huduma ya ngono kwa wateja

    hivi kumbe ukitembea na wanawake wengi ni ufahari?? wao ndio malaya ila wewe ulotembea nao sio hata kama wana ukimwi. ukisema nimewala wengi kuwa makini pengine uneliwa wewe
  9. Single mother

    Sehemu za kula bata moshi mjini

    bata ya aina gani?? malindi hapo jirani pako simple na watoto hadi book 2 wapo viagra yako tu, live band n.k
  10. Single mother

    Hii ni kwa ajili ya single mother

    hivi ukimlea mtoto wako whether ni single father au single mother unakuwa na perception unalea mtoto wa mtu?? mtoto wako ukimlea ukampa maisha bora akimtafuta babake ki mpango wao wawili haina adhari yoyote hali yakuwa keshajitambua.. wanawake wengi sio kwamba hawapendi kusaidiana na wazazi...
  11. Single mother

    Unaweza kupuuza lakini ukweli ni kwamba sura ya Lowassa ni mtaji wa kura

    mmmmh kumbe loswasa ni handsome?? kwa hiyo mkapa alishindaje??
  12. Single mother

    Kwa anayeifahamu Mwenge Catholic University

    hapo kafika, na ajiandae kuvaa koti jeupe refu mda wote kama daktar eee
  13. Single mother

    Kwa anayeifahamu Mwenge Catholic University

    pale/hapa MWECAU ni bachela of edu in arts/science, but mwambie atasoma masomo yote mawili yakufundishia from first year na ni lazima sio ombi, na coz za education kwa wingi ziko palepale. pia kama ni arts na anachukua linguistics may be na kisw/geog/history ajiandae maana linguistics wote...
  14. Single mother

    Kwa anayeifahamu Mwenge Catholic University

    umeomba coz gani nikushauri
  15. Single mother

    Je, naweza kuhama LAPF kwenda PSPS?

    kuhama mfuko unaweza na ni haki yako ya msingina baada ya kuhama ile hela yako wataitransfer mfuko ulohamia. huo mfuko wa PSPS ni mpya nkajua PSPF??
  16. Single mother

    Kwa anayeifahamu Mwenge Catholic University

    yaap kilikuwa kinaitwa saint joseph but ndo hivyo its a university now
  17. Single mother

    Hivi ni kweli walimu mishahara kupanda mwezi 8?

    jaman elimu imewakomboa kweli?? mwez wa 8 ndo huu salary haina zaidi ya siku 5 itatoka!! kwanini uanze mambe ya kuambiwa ukisubiri hyo week uone utafanyaje??
Back
Top Bottom